Yaliyomfika Rais Ali Hassan Mwinyi katika utawala wake 1985 - 1995

Mdukuzi,
Haya si mambo ya maskhara.

Mzee Mwinyi kashindwa kuandika ukweli huu katika kitabu chake.

Kanisa lina nguvu kubwa ndani ya CCM na serikali kama vile Uislam ulivyokuwa na nguvu katika TANU wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Wewe mzee mpumbafu..kwahiyo hapa tupo kujenga nchi au kupambania nguvu ya imani fulani ndani ya kanisa..nendeni shule ndio mje kulalamika...upuuzi mtupu unaongea.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbaya zaidi huyo mzee..kanisa ndio limempa elimu na akili ya kuanza kulitukana..bila elimu kupitia kanisa probably angekua amekuafa kwa maradhi na umasikini..wakupuuza hiyo.

Bora kanisa lingesomesha mbuzi kuliko huyo kilaza...mafanikio yote aliyoyapata ni kupitia elimu ya kanisa.

#MaendeleoHayanaChama
 
..Mchungaji Mtikila ktk mhadhara wa Uislamu vs Ukristo.

 
Dah,nimesoma na nimeumia Sana.Kuna kauli aliwahi kusema Rais Mwinyi "Mazuri yote tumefanya na wenzangu,Ila Mabaya nimefanya Mimi na Siti".Mungu azidi kumpa Umri Mrefu Mzee Mwinyi
 
Hii Memorundum of Understanding ilikua na lengo gani Mkuu?
Hivi Kuna tatizo lolote endapo tungejiunga na OIc?
 
Hii Memorundum of Understanding ilikua na lengo gani Mkuu?
Hivi Kuna tatizo lolote endapo tungejiunga na OIc?

mkiambiwa hamna elimu mnalalamika. Unajua maana ya memorandum of understanding au umeandika tu naww uonekane umechangia. Kuna sehemu OIC imeandikwa au imeelezewa nami??. Kwa kusoma maandishi yako hapa naona jinsi gani ulivyo nyuma kujenga hoja, ni vyema uendelee kujifunza kwanza. uhalisia umeuonesha hapa kwamba upo nyuma kifikra.
 
Ndio rais pekee aliowapa Uhuru wananchi kutumia vya kwao baada ya utawala. Mgumu wa Mwalimu nyerere alieweka mfumo wa yeye Peke. Yake ndio mwenye haki yakua na TV raia akionekana na TV mchi wa sabuni viroba vya unga sukari dawa ya meno anaitwa muhujumu uchumi lakini. Baada yakuja mzee. Mwinyi maarufu kwa jina mzee ruksa kila kitu kikawa ruksa akaondoa mfumo wote wa mwalimu j k nyerere mzee mwinyi alipoingia madarakani watu. Ndio Waka anza kuvaa. Vizuri , kula, vizuri kutembelea magari mazuri na kujenga nyumba , nzuri, kwa. Sera yake ya. Ruksa kwanini nimeleta uzi huu. Huyu mzee anaumwa kwa yoyote. Anaekubariana na haya niliosema juu ya mzee huyu. Basi tuungane kwa. Pamoja kumuombea huyu. Mzee. Mungu hamrudishie afya yake. Kama hapo. Awali
 
Namkumbuka kwa kuteua na kuwaingiza kwenye Cabinet kwa mara ya Kwanza Ndugu Edward Lowassa na Jakaya Kikwete

namkulbuka kwa kupitisha Jina la John Magufuli kuwa Mgombea Ubunge kwa mara ya kwanza 1995 akiwa chairman wa CCM baada ya kugawa jimbo mara mbili baada ya mara ya kwanza JPM kuanguka
 
Mkiwa kwenye kundi la watu wengi, kuna yule ambaye atatoka na kwenda kuongea pembeni mliyoyaongea... Kama ipo lakini
 
Hata hawamzungumzii Dr. Ibrahim Msabaha. The smart guy.
Wanasiasa wasikuchoshe akili, wanatafuta umakini tu wa watu... Ndio maana wengine wapo msibani wengine wapo kwenye maandamano ili wasemwe, wajae kwenye vichwa, midomo na masikio ya mashabiki wa siasa
 
Hata hawamzungumzii Dr. Ibrahim Msabaha. The smart guy.
Mwalimu wangu International relations
Msomi wa PhD from Canada

Gwiji kutoka kijitonyama

aliekubali kupoteza nyadhifa zake zote za kisiasa ilimradi tu aokoe Nchi yakedhidi ya Majambazi wakubwa waliotaka kufilisi Nchi kupitia mradi Tata

kwaheri Gwiji wa Diplomasia na Kachero mzalendo
 
Mbona mafisadi wenyewe mpaka leo wanadunda
Btw wazuri hawafi mapema - makamba snr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…