Yaliyomfika Rais Ali Hassan Mwinyi katika utawala wake 1985 - 1995

Mzee saidi.....wewe ni mzee wangu ila najua ulihusika na kuchochea vurugu zile za mwembechai......kipindi kile ww ulikua kkoo
Na uliwaponza wajomba zangu wa Nyaishozi akina ustaadhi mugisha na alhaji kairuki wakateguka miguu wakati wanakimbia vurugu za vijana barubaru.
Usikatae
 
Choka,
Vipi tutaibadilisha historia na hivyo ndivyo ilivyokuwa?


Kulia Bi. Chiku bint Said Kisusa (mke wa Shariff Abdallah Attas) Bibi Titi Mohamed. Kushoto Bi. Tatu Bint Mzee na Julius Nyerere wanamsindikiza uwanja wa ndege Dar es Salaam safari ya kwanza UNO 1955

Kulia Haruna Iddi Taratibu, Saadan Abdu Kandoro, Julius Nyerere, Sheikh Mohamed Ramia na Iddi Faiz Mafungo, Dodoma Train Station 1955/56
Hii katika picha ndiyo historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Sasa ikiwa kuna wasiopenda historia hii kuwa hivi ilivyo tunafanya nini?

Kwanza ilidhaniwa inawezekana kuifuta kwa kuizuia.
Mohamed Said akaitafiti na akaandika kitabu.

Historia hii sasa ipo na inasomwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
 
Nelson...
Hunijui.
 
Mzee Said Mohammed......wew mtu maarufu kkoo nzima tunakujua bhana.
Hata mzee wako anafahamika.
Hata babu yako anafahamika pia.
Nelson...
Katika mjadala huu tujiepushe na maneno ''bhana.''
Hili ni darsa la kusoma elimu si mahali pa maneno ya mitaani.

Soma post zangu hili utaligundua.
Mimi sifahamiki hivyo Dar es Salaam ya leo.

Wale waliokuwa wanawajua wazee wangu leo hawapo halikadhalika wale wenye kunijua mimi wengi hawapo tena Kariakoo.
 
Wewe ni mzee wetu maarufu na tuna mpango tukufanyie mahojiano makubwa sana......nyie ndio wakongwe wachache mliobakia......pamoja na mitazamo yako ya kidini ila wewe ni mzee wetu unaewakilisha kwa usahii vizazi vya jamii ya wabantu wa MBWA MAJI......kabla hapajaitwa MZIZIMA.
Na kabla hata hawa waarabu wa Oman akina Juma bin Muhammed el Nebhan......babu yake na yule chotara wa kiarabu,muuza binadamu na pembe za ndovu TIP TIP aliyetawala Kasongo na baadae kua kibaraka wa wabelgiji kabla mwanae Seif hajawageuka wabelgiji ambao walimuua...!!!
 
Nelson...
Mbona Uislam unakukera sana?
Hivi unajua kuwa Waislam hawakumbagua Nyerere?

Unaijua historia hii?
Mbona unaandika kwa kejeli na jeuri?

Unawajua hao hapo chini na Mwalimu?

 
Nelson...
Mbona Uislam unakukera sana?
Hivi unajua kuwa Waislam hawakumbagua Nyerere?

Unaijua historia hii?
Mbona unaandika kwa kejeli na jeuri?

Unawajua hao hapo chini na Mwalimu?

View attachment 2928775
Walimpenda kinafiki.....walikua wanawapenda wakoloni wa kiarabu....mfano mzuri wazee wako.
Mm naijua historia kuanzia mji wa kale MBWA MAJI.....kabla ya dar es salaam.
 
Mm nadhani unajifariji kwa kudhani watu wanaokataa hoja zako kua wanaumia!!!!!
Wewe mbuzi katoliki ingia ligi na mimi nikupelekeshe, muache mzee saidi ni ni muungwana mno
Ingia anga zangu kenge wewe wa kihutu na pia nikupe salaam za muslimah in heart General Kagame anavyowasumkumia za mtaro
By the way, tuaichukua Goma muda sio mrefu.................
 
Walimpenda kinafiki.....walikua wanawapenda wakoloni wa kiarabu....mfano mzuri wazee wako.
Mm naijua historia kuanzia mji wa kale MBWA MAJI.....kabla ya dar es salaam.
"Naomba nikuulize kuna nyumba ya kumbukumbu ya Nyerere ipo Magomeni Mikumi karibu na ofisi ya ACT Wazalendo tupe kidogo historia yake."

Jibu langu:


Makala (Daily News) inasema kuwa nyumba hii ina historia ya kupigania uhuru.

Hii si kweli.

Nyerere kahamia nyumba hii mwaka wa 1958 na hata alipokuwa anaishi Maduka Sita nyumba ile hapakuwa na harakati zozote.


Nyumba ya Nyerere Magomeni Maduka Sita na yeye ndiye huyo anaingia ndani.

Mipango yote na mikutano ya siri ya TANU kuanzia TAA ikifanyika nyumbani kwa Abdul Sykes.

Nyumba hii ya Mtaa wa Ifunda Nyerere alinunua kiwanja kwa fedha zake mwenyewe na akasaidiwa kuijenga na rafiki zake wa karibu: John Rupia, Dossa Aziz na Abdul na Ally Sykes.

Haya maneno alisema Makongoro Nyerere siku ya uzinduzi wa nyumba hii baada ya ukarabati mkubwa.

Mimi na Abdulrahman Ali Msham, mtoto wa Ali Msham tulialikwa kwa kuwa maofisa wa nyumba ile ya kumbukizi walifika kutuhoji historia ya Mwalimu.

Ali Msham alifungua tawi la TANU nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu, Magomeni Mapipa na akampa Mama Maria sehemu ndogo hapo nyumbani kwake kwenye tawi la TANU kufanya biashara ya kuuza mafuta ya taa.

Mwalimu alihamia nyumba ile ya Mtaa wa Ifunda mwaka wa 1958 akitokea nyumba iliyokuwa Morogoro Road Maduka Sita ambayo alitafutiwa na TANU.

TANU walimweka Mwalimu hapo kwa kuwa walitaka awe jirani na Ramadhani Aziz mdogo wake Dossa Aziz.

Ramadhani Aziz alikuwa na duka hapo na akiishi hapo hapo.

Nyerere alihamia hapo mwaka wa 1955 akitokea nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu.

Nyumba hii Nyerere hakukaa muda mrefu akapewa nyumba na serikali ya kikoloni Sea View.


Nyumba ya Abdu Sykes ambayo Nyerere aliishi baada ya kuacha kazi.

Muonekano huu ni baada ya kufanyiwa ukarabati nyumba ya zamani katika miaka ya 1970 lakini zile nyumba mbili kubwa na ndogo aliyoishi Nyerere zilibakia kama zilivyo na ni huu upande wa kulia.


Nyumba ya Abdul Sykes kama ilivyo hivi sasa.

Kwa kuhitimisha ningependa kusema kuwa hii ndiyo historia ambayo haikuwa inafahamika na wengi.
 
hata wezi, malaya , waongo, walevi na wanaomuasi mungu utakufa na utawawacha , sasa ndio wasisemwe ??

Hivi hii hali tuliyonayo ni amani ?? kila uchaguzi mnakuja kuuwa watu Zanzibar na kulazimisha kuweka viongozi wanaokubalika na kanisa ni amani ??
 
Kwani wewe una hakika walau ya saa moja mbele ??
Taifa limejengwa na umoja gani , Msingalimpinga Mchaga kuwa Raisi
 
Kwani wewe humwazi Padri wako wakati wote ??
 
Wewe mzee mpumbafu..kwahiyo hapa tupo kujenga nchi au kupambania nguvu ya imani fulani ndani ya kanisa..nendeni shule ndio mje kulalamika...upuuzi mtupu unaongea.

#MaendeleoHayanaChama
Huna jipya Mgalatia wewe zaidi ya matusi uliyofundishwa na Padri wako
 

Hii ndiyo elimu anayokufundisha Padri wako kanisani inaeleweka
 
Ahahahahaha! Umeeudi tena. Kwakuwa Laigwanan Mzee Lowassa sio Mwislamu hata kutoa pole hapana, bali unamzunguzia Mzee Sykes wa miaka dahali! Haya bwana!
Unaongelea lile fisadi la kimataifa ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…