Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu aliwahi kuwa ofisa wa Polisi wa ngazi ya juu , kwanza alikuwa MKUU WA UPELELEZI WA KANDA MAALUM na Baadaye akapanda hadi kuwa RPC , ni askari aliyekisaidia " chama chake " kama hawa wengine wanavyokisaidia.
Lakini hakika Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Zombe alikuja kunasa kwenye tundu bovu sana kutokana na mchezo wake wa miaka mingi wa kudhulumu haki za raia , huyu mtu kwa sasa hawezi kuheshimiwa hata na mifugo , amedharaulika moja kwa moja .
Natoa wito kwa Polisi waliosalia madarakani kwamba watende haki na waache kuhukumu raia kwa adhabu na vifungo bila kupita mahakamani , Hakuna ajuaye kesho , Hata Zombe naye alikisaidia "chama chake" kama mnavyofanya nyinyi , Lakini kwa vile Mungu hataniwi yaliyomkuta wote mnayajua.
naomba kuwasilisha