Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Yuko Moro pale kawa kama mjinga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitenda uovu huna pa kukimbilia , ALIYEKUWA IGP OMARI MAHITA AMBAYE REKODI YAKE YA UKATILI NA KEJELI BADO HAIJAVUNJWA , BAADA YA KUSTAAFU ALIBURUZWA MAHAKAMANI KWA KESI YA AIBU YA KUMTIA MIMBA HOUSE GIRL WAKE NA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , HAIJAFAHAMIKA KAMA ALIMBAKA AU WALIKUBALIANA ( tunaendelea kuchunguza )Yatawakuta akina Mambosasa. Inawezekana watakuwa wamestaafu wakati huo, lakini watakuja kujieleza na Itakuwa aibu ya karne.
Usifikirie kwa kutumia makalio kijana shirikisha ubongo wakoPolisi wanafanya kazi ya serikali na wala sio chama.
Kama alikuwa na tabia ambazo zinakiuka sheria ya nchi ni yeye mwemyewe na antakiwa kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria zetu.
Usiwangize wana usalama wetu wote katika lawama ambazo haziwahusu ispokuwa kama kuna sehemu unaona mwa usalma natenda kinyume toa taarifa ni jambo nzuri.
Atoe taarifa wapi?Polisi wanafanya kazi ya serikali na wala sio chama.
Kama alikuwa na tabia ambazo zinakiuka sheria ya nchi ni yeye mwemyewe na antakiwa kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria zetu.
Usiwangize wana usalama wetu wote katika lawama ambazo haziwahusu ispokuwa kama kuna sehemu unaona mwa usalma natenda kinyume toa taarifa ni jambo nzuri.
Itolewe taarifa kwako???Polisi wanafanya kazi ya serikali na wala sio chama.
Kama alikuwa na tabia ambazo zinakiuka sheria ya nchi ni yeye mwemyewe na antakiwa kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria zetu.
Usiwangize wana usalama wetu wote katika lawama ambazo haziwahusu ispokuwa kama kuna sehemu unaona mwa usalma natenda kinyume toa taarifa ni jambo nzuri.
Yaani wewe hata kuandika zero bado unakoment upuuzi
Go back to school Dude
Swissme
Nilitaka kumjibu, kumbe sio mimi tu nashangaa... Hivi hawa jamaa wana kiwewe gani? Haiwezekani wote wakawa kwenye level moja ya ujinga... Kuna kitu hakiko sawa.
KARMA - you get what you doKarma
Tetetete UVCCM lumumba
Swissme
Halafu hizi siku mbili tatu zilizopita yamejaa humu(nadhani na ma robot ndani yake au ID mbili mbili) yanajaza tu utumbo wao. Au mkuu unadhani Mange kawatia uchizi? Mi naona wao ndo wanampa Promo ya bure. Nimewaambia humu, wamwambie DU. He has one and only one way and that is to CHANGE!!!! before its too late.
Astaghafillulah !Huyo Dada alikuwa House girl wake akiwa RPC Kilimanjaro hivyo mzee alikuwa akijipoza kila alipopata fursa ya kufanya hivyo na tena wakati wa ile kesi yake mzee aliumbuka sana maana yule Dada alidai wakati wa uhusiano wao mzee alikuwa akirudi mchana kupata chakula alikuwa akipiga mechi sehemu yoyote ikiwemo jikoni,siting room hata chooni
Polisi wanafanya kazi ya serikali na wala sio chama.