Yaliyomkuta Abdallah Zombe yawe fundisho kwa Polisi wa Tanzania

Amechukua form kugombea ubunge huko Songea.
 
Huyu aliwahi kuwa ofisa wa Polisi wa ngazi ya juu , kwanza alikuwa MKUU WA UPELELEZI WA KANDA MAALUM na Baadaye akapanda hadi kuwa RPC , ni askari aliyekisaidia " chama chake " kama hawa wengine wanavyokisaidia.

Lakini hakika Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Zombe alikuja kunasa kwenye tundu bovu sana kutokana na mchezo wake wa miaka mingi wa kudhulumu haki za raia , huyu mtu kwa sasa hawezi kuheshimiwa hata na mifugo , amedharaulika moja kwa moja .

Natoa wito kwa Polisi waliosalia madarakani kwamba watende haki na waache kuhukumu raia kwa adhabu na vifungo bila kupita mahakamani , Hakuna ajuaye kesho , Hata Zombe naye alikisaidia "chama chake" kama mnavyofanya nyinyi , Lakini kwa vile Mungu hataniwi yaliyomkuta wote mnayajua.

naomba kuwasilisha
HUO NI UNAFIKI WA KIWANGO CHA RAMI KWANI YAMEMKUTA YEPI NA YUPO URAIANI HANA KSAZOMBE WALIOTENDA MAKOSA WALISHAHUKUMIWA
 
Huyu aliwahi kuwa ofisa wa Polisi wa ngazi ya juu , kwanza alikuwa MKUU WA UPELELEZI WA KANDA MAALUM na Baadaye akapanda hadi kuwa RPC , ni askari aliyekisaidia " chama chake " kama hawa wengine wanavyokisaidia.

Lakini hakika Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Zombe alikuja kunasa kwenye tundu bovu sana kutokana na mchezo wake wa miaka mingi wa kudhulumu haki za raia , huyu mtu kwa sasa hawezi kuheshimiwa hata na mifugo , amedharaulika moja kwa moja .

Natoa wito kwa Polisi waliosalia madarakani kwamba watende haki na waache kuhukumu raia kwa adhabu na vifungo bila kupita mahakamani , Hakuna ajuaye kesho , Hata Zombe naye alikisaidia "chama chake" kama mnavyofanya nyinyi , Lakini kwa vile Mungu hataniwi yaliyomkuta wote mnayajua.

naomba kuwasilisha
Sometimes huwa una busara.
 
Zombe muuaji dhuluma wa Mali za binadamu wenzanke ili yeye na familiake waishi kifahari.... Leo wale wapogoro wa watu familia zao zinateseka kwa kukosa wazazi, walezi kisa huyu mnyama yeye anafurahia maisha Na wake zake.
Tuwapege watoto Wetu majjna mazuri...
 
Back
Top Bottom