Yaliyomkuta Abdallah Zombe yawe fundisho kwa Polisi wa Tanzania

Polisi wanafanya kazi ya serikali na wala sio chama.
Kama alikuwa na tabia ambazo zinakiuka sheria ya nchi ni yeye mwemyewe na antakiwa kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria zetu.
Usiwangize wana usalama wetu wote katika lawama ambazo haziwahusu ispokuwa kama kuna sehemu unaona mwa usalma natenda kinyume toa taarifa ni jambo nzuri.
Afu huwez amin nmesoma sentensi moja tu uliosema polisi wanafanya kazi ya serikali wala sio ya chama....chaendelea maana nmeona haupo nchi hii pengne!!! Kwan wameanza Leo kujiusisha na chama? Hukumbuki kauli ya IGP mahita aliwai kusema hadharan chama cha CUF hakiwez kutawala Zanzibar yy akiwepo? Huoni haphrey pole pole akizunguka nchi nzima kweny kampein na hakamatwi ,? Ila kla zitto na chama vingne c vimezuiwa kufanya mikutano?
 
Zombe alikuwa jambazi na jambazi hana nafasi ndani ya CCM kama ilivyokuwa kwa nyeupe
 
Siku Polisi Akitenda Haki Nenda Katambikie Mizimu Ya Ukoo Kabisa Polisi Duniani Kote Wanachukiwa Hawapendwi Sababu Ya Ukatili Wao Kukupa Kesi Ni Kawaida Tu Kwanza Polisi Hana Rafiki
Si kweli kuna baadhi ya nchi shrria zaniawabana hivyo wapo lakini siyo nje nje kama Tanzania ama marekani mfano UK polisi anakushika na kubembeleza kama unataka chai ama kahawa. Hata kama wabaguzi hawaonyeshi wazi wazi kwa kuhofia sheria zao maana hata afisa mkubwa anaweza kuadhibiwa ama kuombwa ajiuzuru
 
Polisi wanafanya kazi ya serikali na wala sio chama.
Kama alikuwa na tabia ambazo zinakiuka sheria ya nchi ni yeye mwemyewe na antakiwa kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria zetu.
Usiwangize wana usalama wetu wote katika lawama ambazo haziwahusu ispokuwa kama kuna sehemu unaona mwa usalma natenda kinyume toa taarifa ni jambo nzuri.
Dah!!! Unatafuta laana wewe
 
unafiki ni hatari sana ! hata hueleweki ulichoandika .
 
Nakumbuka zombe alivokua akitoa macho mahakamani huku akilia akidai waandishi wanamchafua
 
Polisi wanafanya kazi ya serikali na wala sio chama.
Kama alikuwa na tabia ambazo zinakiuka sheria ya nchi ni yeye mwemyewe na antakiwa kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria zetu.
Usiwangize wana usalama wetu wote katika lawama ambazo haziwahusu ispokuwa kama kuna sehemu unaona mwa usalma natenda kinyume toa taarifa ni jambo nzuri.
shubaamit
 
kakugonga mfupa wako![HASHTAG]#imepenya[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom