Hawajamteka, akienda nyumbani kwake usiku hataumaliza.Sisi tukiongea kupitia jamii forum kwa kuwa hamtujui majina hata hamtuzingatii,
Yaliyomkuta Leo charamila wakati akiongea na madereva wa maloli ni matokeo ya VYOMBO alivyonavyo chini yake kutumika kumlamba MATAKO nje kabisa ya msingi wa ajira za VYOMBO hivyo na hapa nikwambie tu, sio kwake peke yake hata Rais akidiriki kutembea peke yake barabarani Bira ya VYOMBO hivyo hakika, ataambiwa ukweli.
VYOMBO yaani idara kama usalama mkoa, takukuru mkoa, na vingine vingi vingi wamekuwa MAAFISA muda wote wanakaaa ofisini wanasubilia watu wakaripoti kwao.
Mwishowe, mkuu wa mkoa UNATOA AMRI anatokea kijana anakupinga afharani na anakupinga kwa hoja.
Tena kwa hoja nzito sana, mimi nikokutana na chalamila nitamuulizA kama WAMILIKI wa Bajaj ni akina nani? Kwa Mbeya, ni Tulia, anazo zaidi ya 200, RPC anazo zaidi ya 50, RC anazo za kutosha na vigogo wengine.Mwishowe, mkuu wa mkoa UNATOA AMRI anatokea kijana anakupinga afharani na anakupinga kwa hoja.
Jamaa akajifiche, anasema RC anafanya kazi sio zake hahahahaha such a painful awakening truthHawajamteka, akienda nyumbani kwake usiku hataumaliza.
Sisi tukiongea kupitia jamii forum kwa kuwa hamtujui majina hata hamtuzingatii,
Yaliyomkuta Leo charamila wakati akiongea na madereva wa maloli ni matokeo ya VYOMBO alivyonavyo chini yake kutumika kumlamba MATAKO nje kabisa ya msingi wa ajira za VYOMBO hivyo na hapa nikwambie tu, sio kwake peke yake hata Rais akidiriki kutembea peke yake barabarani Bira ya VYOMBO hivyo hakika, ataambiwa ukweli.
VYOMBO yaani idara kama usalama mkoa, takukuru mkoa, na vingine vingi vingi wamekuwa MAAFISA muda wote wanakaaa ofisini wanasubilia watu wakaripoti kwao.
Mwishowe, mkuu wa mkoa UNATOA AMRI anatokea kijana anakupinga afharani na anakupinga kwa hoja.
Hawa ndio walipaswa kuwa wabungeTupia video ya tukio basi
Huo ni ukweli, LATRA na TANROADS ndio wanawajibika.Jamaa akajifiche, anasema RC anafanya kazi sio zake hahahahaha such a painful awakening truth
๐๐nimekoma kunywa keupe asubuhiAsante Baba Leo umeeza kwenda kwa mwajili kweli au mambo yamejirudia kama ya Jana?
Hakuna mtawala anae penda kusikia UTAWALA au serikali yake inachukiwa ilo halipo mkuu, hata chalamila anajutia kwa Nini ameenda pale Leo sijui atamwambia Nini Rais walah anafaaa atumbuliwe.ukuaji wa demokrasia unazidi kuimarika chini ya mama wanachi wanazidi kuoa maoni yao kwa nidhamu kila kukicha
We jamaa una hoja usikilizweTena kwa hoja nzito sana, mimi nikokutana na chalamila nitamuulizA kama WAMILIKI wa Bajaj ni akina nani? Kwa Mbeya, ni Tulia, anazo zaidi ya 200, RPC anazo zaidi ya 50, RC anazo za kutosha na vigogo wengine.
Ukitaka kupunguza foleni Kwenye majiji, piga marufuku Bajaji. Leo hii Dar kila mahali ni Bajaj, wakati mwaka 1990's tuliondoa Hiace (vipanya) kuanzisha Daladala kubwa ili kuondoa foleni. Leo hii tumetoka kwenye hiace iliyokua inabeba watu 25 na kurudi hadi Bajaj ya watu sita tena wasio na mafunzo