Tatizo sikuishia kamoja😂KEUPE, hakana shida mkuu, piga nyama moto Ile piga nusu tu kanakutosha, KEUPE kakizama kanakuta nyama
Sisi watu wote tunaichukua serikali ya jamhuri ukwel ambao hawataki kuusikia
Mimi napenda sana wewe ulivyomsifia huyo dereva. ♥️bwana dereva mimi love u sana sana kwa uliyosema
Bajaji peke yake haiwezi kuleta foleni bwana mdogo. Hao abiria wanaopanda kwenye hizo bajaji watarudi kuoanda daladana na bado kutakuwa na folenj ya daladala ungekuwa na akili kama ungesema waanzw kuwekeza kujenga reli ya mijni kinyume na hapo hoja yako ni nonsenseUkitaka kupunguza foleni Kwenye majiji, piga marufuku Bajaji. Leo hii Dar kila mahali ni Bajaj, wakati mwaka 1990's tuliondoa Hiace (vipanya) kuanzisha Daladala kubwa ili kuondoa foleni. Leo hii tumetoka kwenye hiace iliyokua inabeba watu 25 na kurudi hadi Bajaj ya watu sita tena wasio na mafunzo
Sisi tukiongea kupitia jamii forum kwa kuwa hamtujui majina hata hamtuzingatii,
Yaliyomkuta Leo charamila wakati akiongea na madereva wa maloli ni matokeo ya VYOMBO alivyonavyo chini yake kutumika kumlamba MATAKO nje kabisa ya msingi wa ajira za VYOMBO hivyo na hapa nikwambie tu, sio kwake peke yake hata Rais akidiriki kutembea peke yake barabarani Bira ya VYOMBO hivyo hakika, ataambiwa ukweli.
VYOMBO yaani idara kama usalama mkoa, takukuru mkoa, na vingine vingi vingi wamekuwa MAAFISA muda wote wanakaaa ofisini wanasubilia watu wakaripoti kwao.
Mwishowe, mkuu wa mkoa UNATOA AMRI anatokea kijana anakupinga afharani na anakupinga kwa hoja.
Una hoja kuntu🙏Tena kwa hoja nzito sana, mimi nikokutana na chalamila nitamuulizA kama WAMILIKI wa Bajaj ni akina nani? Kwa Mbeya, ni Tulia, anazo zaidi ya 200, RPC anazo zaidi ya 50, RC anazo za kutosha na vigogo wengine.
Ukitaka kupunguza foleni Kwenye majiji, piga marufuku Bajaji. Leo hii Dar kila mahali ni Bajaj, wakati mwaka 1990's tuliondoa Hiace (vipanya) kuanzisha Daladala kubwa ili kuondoa foleni. Leo hii tumetoka kwenye hiace iliyokua inabeba watu 25 na kurudi hadi Bajaj ya watu sita tena wasio na mafunzo
Ana kina Lucas Mwashambwa wapo kurekebisha mkuu usijaliHakuna mtawala anae penda kusikia UTAWALA au serikali yake inachukiwa ilo halipo mkuu, hata chalamila anajutia kwa Nini ameenda pale Leo sijui atamwambia Nini Rais walah anafaaa atumbuliwe.

Siku moja angepanda bajaj usiku kutoka Mbezi hadi Chanika aone adha waipatayo wasafiri.Sisi tukiongea kupitia jamii forum kwa kuwa hamtujui majina hata hamtuzingatii,
Yaliyomkuta Leo charamila wakati akiongea na madereva wa maloli ni matokeo ya VYOMBO alivyonavyo chini yake kutumika kumlamba MATAKO nje kabisa ya msingi wa ajira za VYOMBO hivyo na hapa nikwambie tu, sio kwake peke yake hata Rais akidiriki kutembea peke yake barabarani Bira ya VYOMBO hivyo hakika, ataambiwa ukweli.
VYOMBO yaani idara kama usalama mkoa, takukuru mkoa, na vingine vingi vingi wamekuwa MAAFISA muda wote wanakaaa ofisini wanasubilia watu wakaripoti kwao.
Mwishowe, mkuu wa mkoa UNATOA AMRI anatokea kijana anakupinga afharani na anakupinga kwa hoja.
Huyo dereva ndio alipaswa awe mkuu wa mkoa wa Daa.
Asante sana.Mimi napenda sana wewe ulivyomsifia huyo dereva. ♥️
Wakuu tuanzishe kampeni PM ajiuzulu... Hafai hata sekunde moja ijayoSisi tukiongea kupitia jamii forum kwa kuwa hamtujui majina hata hamtuzingatii,
Yaliyomkuta Leo charamila wakati akiongea na madereva wa maloli ni matokeo ya VYOMBO alivyonavyo chini yake kutumika kumlamba MATAKO nje kabisa ya msingi wa ajira za VYOMBO hivyo na hapa nikwambie tu, sio kwake peke yake hata Rais akidiriki kutembea peke yake barabarani Bira ya VYOMBO hivyo hakika, ataambiwa ukweli.
VYOMBO yaani idara kama usalama mkoa, takukuru mkoa, na vingine vingi vingi wamekuwa MAAFISA muda wote wanakaaa ofisini wanasubilia watu wakaripoti kwao.
Mwishowe, mkuu wa mkoa UNATOA AMRI anatokea kijana anakupinga afharani na anakupinga kwa hoja.
Hamna ugumu wowote tatizo hakuna political will. Utamshughulikiaje GSM na kakuchangia Billion 10 za kampeni? Hao hao viongozi wanamiliki hizo yard na ICDSema nchi ina mapapa hii ya ufisadi ni ngumu kudeal nao....hyo imepita kulia na kutoka kushoto