King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Tena kwa hoja nzito sana, mimi nikokutana na chalamila nitamuulizA kama WAMILIKI wa Bajaj ni akina nani? Kwa Mbeya, ni Tulia, anazo zaidi ya 200, RPC anazo zaidi ya 50, RC anazo za kutosha na vigogo wengine.
Ukitaka kupunguza foleni Kwenye majiji, piga marufuku Bajaji. Leo hii Dar kila mahali ni Bajaj, wakati mwaka 1990's tuliondoa Hiace (vipanya) kuanzisha Daladala kubwa ili kuondoa foleni. Leo hii tumetoka kwenye hiace iliyokua inabeba watu 25 na kurudi hadi Bajaj ya watu sita tena wasio na mafunzo
Leo Lori limeua wawili mbagala.
Kila siku bodaboda zaidi ya 50 wanakufa barabarani ajali ya malori.