Yaliyomkuta Chalamila leo, ni matokeo ya VYOMBO kutokumueleza ukweli kila uchwao

Bajaji peke yake haiwezi kuleta foleni bwana mdogo. Hao abiria wanaopanda kwenye hizo bajaji watarudi kuoanda daladana na bado kutakuwa na folenj ya daladala ungekuwa na akili kama ungesema waanzw kuwekeza kujenga reli ya mijni kinyume na hapo hoja yako ni nonsense
 
 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 5
Una hoja kuntu🙏
 
Siku moja angepanda bajaj usiku kutoka Mbezi hadi Chanika aone adha waipatayo wasafiri.
 
Wakuu tuanzishe kampeni PM ajiuzulu... Hafai hata sekunde moja ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…