[Anyway namshauri huyu dada ache kulaumu sana watu, in the end lazima ujiangalie mwenyewe.
Na hizo contract alizosign na Sony, kama kuna contract! zinaonyesha ziko weak sana, lazima upate lawyer acheki vitu kabla ya kusign, si unakimbilia ustaa tu.[/QUOTE]
Kama nimemuelewa Nakaaya sidhani kama hapa kakusudia kumlaumu mtu, nafikiri anajilaumu yeye mwenyewe kwa kuuvaa mkenge. Na anakubali lilikuwa kosa na ndio maana ameona haja ya kubadili maisha yake. Hii ni diary yake na ame "bwaga" moyo wake ni njia nzuri pia katika kukabili hayo yaliyomkumba. Japo wapo mnaoona hakupaswa kuweka haya mambo hadharani, tayari magazeti na wadaku wameyaandika kwa namna yao, yeye ni "Celebrity" wakati mwingine ni muhimu kusema ili kuweka ukurasa wako sawa.
Binti ana kipaji...keep it up Naakaya, ukianguka unanyanyuka, unakung'uta vumbi (kama ulivyofanya) unachapa mguu mbele!