Yaliyomkuta Nakaaya Sumari

Yaliyomkuta Nakaaya Sumari

Who's "Mr. X?"

Some googling inaniambia Mr. X ni Mutulu Olugbala aka M1 wa Dead Prez.
220px-Sticman.png

Tatoo ya M1 mkononi hiyo, na hii site inadai walioana sasa sielewi.
http://www.drum.co.ke/node/1824
Nakaaya%20Sumari%20tattoo.jpg


Anyway namshauri huyu dada ache kulaumu sana watu, in the end lazima ujiangalie mwenyewe.
Na hizo contract alizosign na Sony, kama kuna contract! zinaonyesha ziko weak sana, lazima upate lawyer acheki vitu kabla ya kusign, si unakimbilia ustaa tu.
 
labda nina matatizo, sijaelewa kitu, a.k.a nimetoka kapa!

hivi huyu dada kwa nini asitafute mtu akaamua kuolewa na kutulia na mtummoja mambo mengine ni laana ama visasi,..unaweza mhisi mwenzako lakini laana ndio inafanya hivyo!!!!!dada kaza buti umeshabadili mweleko sasa anza kiupya!!!!
Mwombe mungu akubadilishe uwe na mtu mwoane mkae mpate watoto
 
hivi ameacha kushobokea mastaa

wascha wamtende!!!!!umetudis waja wa mungu matatizo matupu hao!!!
 
huo mtiririko aliotumia kuandika ndio unaitwa poet...anyway sijui....ila kiukweli nimetoka kapa
 
huo mtiririko aliotumia kuandika ndio unaitwa poet...anyway sijui....ila kiukweli nimetoka kapa

Preta kuweka majungu pembeni lazima tukubali ameonesha ubunifu wa hali ya juu katika kuelezea hii habari.
 
Basi huyo dili!!!alafu unaambiwa kwa mama rwakatare st...nk akupitia angepitia mwana huyu duh!!!!
Kidumu st piano,malekezi,mashavu,sikaele nk
 
si vizuri kuanika mambo yote hadharani,ingawa in your position as a star sidhani km una choice....
hapa naona umewapa watu nafasi ya kukujadili,na udaku juu kuhusu private life yako..jambo ambalo ma star wengi wanalikwepa...

kuanza kulaumu tu wengine,ni kuonyesha mapungufu ..yako ama immaturity,...ni muda wa kuanza kujia-asses...lol
 
Bujibuji nadhani anaweza akawa bwana mzuri kwako kuliko hao wasanii.
 
Mdogo wangu huyu hakupata ushauri wa kujitayarisha na maisha wakati mtu anapokuwa staa. Hata hivyo maskandali ndio vitu ambavyo hayo makampuni makubwa hawataki kusikia kabisaaa. Angalia Tiger Woods alivyoathirika kwa skandali ile.

Na huyo Olugbala mbona limekaa kimagharibi magharibi (Nigeria), au nimekosea?
 
[Anyway namshauri huyu dada ache kulaumu sana watu, in the end lazima ujiangalie mwenyewe.
Na hizo contract alizosign na Sony, kama kuna contract! zinaonyesha ziko weak sana, lazima upate lawyer acheki vitu kabla ya kusign, si unakimbilia ustaa tu.[/QUOTE]

Kama nimemuelewa Nakaaya sidhani kama hapa kakusudia kumlaumu mtu, nafikiri anajilaumu yeye mwenyewe kwa kuuvaa mkenge. Na anakubali lilikuwa kosa na ndio maana ameona haja ya kubadili maisha yake. Hii ni diary yake na ame "bwaga" moyo wake ni njia nzuri pia katika kukabili hayo yaliyomkumba. Japo wapo mnaoona hakupaswa kuweka haya mambo hadharani, tayari magazeti na wadaku wameyaandika kwa namna yao, yeye ni "Celebrity" wakati mwingine ni muhimu kusema ili kuweka ukurasa wako sawa.

Binti ana kipaji...keep it up Naakaya, ukianguka unanyanyuka, unakung'uta vumbi (kama ulivyofanya) unachapa mguu mbele!
 
Sometimes we take long move to look for success. Kumbe success zetu zipo mita chache kutoka tulipo simama. Kama haya si mambo ya fools day, basi jua ndio graduation yako kwenye maisha kwamba inatakiwa upigane. Ukilala utauwawa na hakuna this or that atakayeweza kukupa mafanikio bila wewe mwenyewe kuamua kuyatafuta bila kukata tamaa
 
Ni kweli wakati mwingine kukimbilia u star bila proper strategy unaishia kuwa kama dada yetu huyu!! Wanaota ndoto za juu sana na wanazitaka ghafla, ndo mana wako ladhi kumpa uroda yeyote yule ili mradi wawe ma star! Haya ndo mambo ya Lady JD kutaka kununua private Jet ya kuendea kwenye show Thai Village!!

Nakumbuka kipindi kile kaja mwanahiphop Loon toka Bad Boy Entertainment, mademu wengi walikuwa wanajirengesha rengesha kwa mnyamwezi sana akiwemo Miss T na wengine wengi (alikuwa Clouds sijui kama bado yuko hapo).

Hata alipokuja Wayne Wonder pia kuna mademu waling'ang'ania waondoke naye!! Achilia mbali hao, hata hapa bongo wasanii wengi wa kike wako ladhi kutembea na maprodyuza na watangazaji ili wapate favour za hapa na pale!!

Pengine mademu wa kibongo wanaona ngumu kukomaa wenyewe kuelekea kwenye mafanikio!!
 
Sometimes we take long move to look for success. Kumbe success zetu zipo mita chache kutoka tulipo simama. Kama haya si mambo ya fools day, basi jua ndio graduation yako kwenye maisha kwamba inatakiwa upigane. Ukilala utauwawa na hakuna this or that atakayeweza kukupa mafanikio bila wewe mwenyewe kuamua kuyatafuta bila kukata tamaa

Hivi alifanya nini aweze kupata hicho alichoahidiwa? Wakati mwingine ukikosa ulichoahidiwa piga kimya maana still hujastahili. Hii hapa ni kutuambiwa kuwa alinyimwa bila kujua alikuwa hajapewa. NO FREE LUNCH PLEASE..
 
Hivi alifanya nini aweze kupata hicho alichoahidiwa? Wakati mwingine ukikosa ulichoahidiwa piga kimya maana still hujastahili. Hii hapa ni kutuambiwa kuwa alinyimwa bila kujua alikuwa hajapewa. NO FREE LUNCH PLEASE..
Sijui nini kilimfanya apewe hiyo contract, lakini well, hilo la NO FREE LUNCH limeingia vizuri akilini nahisi. Tunapenda sana mitelemko sometimes
 
it just fails to click-Huu mkataba na sony,alipewa sababu ya singing potentiality? Na je market catchment yake was supposed to be africa au east africa? i justdont see how ma entrepeanuers wa sony wange fanikiwa kum market.Understanding the music scene in east africa is so hard.Naomba kufahamishwa mwanamuziki gani East Africa anaongoza kwa music sales for the year 2009 to todate
 
Keep going dada, usikate tamaa magurumeti yako mengi bongo, ndo maana wengine inatuwia vigumu kurejea home.One day everythin will be ok.

Acha kusingizia vitu vingine si useme umekosa nauli ya kurudia BONGO LAND
 
Back
Top Bottom