Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,655
- 2,506
Who's "Mr. X?"
Some googling inaniambia Mr. X ni Mutulu Olugbala aka M1 wa Dead Prez.
Tatoo ya M1 mkononi hiyo, na hii site inadai walioana sasa sielewi.
http://www.drum.co.ke/node/1824
Anyway namshauri huyu dada ache kulaumu sana watu, in the end lazima ujiangalie mwenyewe.
Na hizo contract alizosign na Sony, kama kuna contract! zinaonyesha ziko weak sana, lazima upate lawyer acheki vitu kabla ya kusign, si unakimbilia ustaa tu.