Yaliyomkuta Ngasa, Ajibu, Domayo na sasa Fei na Mayele na uwepo wa Majini Yanga

Upuuzi huu, ndio maana Africa haiendelei na kubaki kua bara la GIZA. Akili zenyewe ndio hizi.
 
Na hayo majini nani ni mtaalamu huko yanga wa kuyadizaini na kuyaunda?
 
Majini FC wameumbuka. Ushirikina umetawala katika maisha yao. Si unakumbuka hata mechi yao na Dodoma Jiji walivyopata goli baada ya kufanya vitendo vya kishirikina kwenye goli la wapinzani wao?
Na kwenye mechi ya mashujaa ilikua hivyo hivyo
 
Unawatetea sana hawa jamaa ila sio watu wazuri hawa wamewaahidi ihefu kushuka daraja baada ya kunyanduliwa ×2 na tunaliona hili likienda kutimia, sawa unaweza kusema mbili za mwanzo zilikuwa na maumivu kutokana na mazingira ya njia lkn vjna walirudia kuongeza njia ili usipate tabu mpka kufikia hatua kwenda na misuli dhidi ya waarabu na bado ukawatupia vijana wa mbeya majini
 
Baadae msije kulaumu viongozi wenu mkikosa ubingwa mkiambiwa wamelogwa na Yanga
 
Leo umeongea KIZARENDO sana umeweka pembeni USIMBA na YANGA hongera sana umezungumza sahihi kabisa
 
Sema yoteee, lakini huyu wa ugari na sukari mtoe kwenye hiyo orodha..!!
Anayeamini katika majini yeye ndo mshirikina
 
Hivi kwanini mbumbumbu FC na mashabiki wao ndo mnaamini sana majini?
 
Muongezee Torres kutoka Liverpool kwenda chelsea
 
Mayele Amejichanganya.

Kila La Kheri Dar Young Africans Kwa Ushindi Mwingine Wa Ligi Kuu NBC 2023/2024
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…