Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

Dah! Mshenzi huyo yaani unapewa chakula, malazi mpaka matumizi na bado unamuibia sponsor!?
 
Hakuna uzembe hapo... Jamaa yuko very standard wala wengine hawangeweza kupangilia utaratibu wa fedha namna hiyo, angalia level ya mtu (level ya kipato)
 
Na iyo posho ya sensa tena ya masimango kila uchwao!Watu wenye dharau huku hamna kitu mnakera kweli.Ingekuwa 500k ndogo kwanini uko kwenye KAZI uchara iyo ya Anne makinda?sent zenu hampati Hadi mgome.Acha dharau bro
wakati tulikuwa tunamshauri hapa akipata anunue godoro leo analeta kejeli
 

😂😂

We mjinga Sana! Hata kupiga adhana sijui unanifukuzia Msikitini
 
Pole sana mkuu ila hakukua na sababu ya kutaja Chuo😀
 
Ungempiga miti kabisa,pumbavu zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…