Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
520k ni heka mbili unakodi nakupanda mahindi , maharage na pia unapata hela sana kama gunia 150 halafu unadai kuwa ni ndogo naomba basi520k hela ndogo huwezi anzisha thread Ni Aibu Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
520k ni heka mbili unakodi nakupanda mahindi , maharage na pia unapata hela sana kama gunia 150 halafu unadai kuwa ni ndogo naomba basi520k hela ndogo huwezi anzisha thread Ni Aibu Sana.
Wewe unataka zifike ngapi ili alalamike?Sasa Mkuu 520k ndo unalalamika hivyo
Umeona mwalimu wa secondary Yuko hapa kumdharau MTU aliyeibiwa laki 5? Siku shemeji yako akichoka kukulisha akili itarudi kwenye mstari.Acha kuzungumzia walimu,pambana na kishkwambi!Ndio kwani hata Walimu wa sekondari hukuona wanaomba?
Sawa Mkuu Mimi sio karani wewe jilishe upepoUmeona mwalimu wa secondary Yuko hapa kumdharau MTU aliyeibiwa laki 5? Siku shemeji yako akichoka kukulisha akili itarudi kwenye mstari.Acha kuzungumzia walimu,pambana na kishkwambi!
Wakikata tamaa wanaanza kusema mara sio wote mara mi ni independent woman mara utasikia sio priority kwangu[emoji3]Hebu mpashee ajue
Kunguru kweli ukiwa unachart na mimi moyo unasisimukaWakikata tamaa wanaanza kusema mara sio wote mara mi ni independent woman mara utasikia sio priority kwangu[emoji3]
Nafurahi kusikia uwepo wangu huku unakusisimia unakufurahisha[emoji3526]Kunguru kweli ukiwa unachart na mimi moyo unasisimuka
Wahaya sijui mnashida gani ovyo kabisaSasa Mkuu 520k ndo unalalamika hivyo
Yaani unaniogopesha tu sijui whyNafurahi kusikia uwepo wangu huku unakusisimia unakufurahisha[emoji3526]
Kukuogopesha huko ni kwa aina gani kuzuri au kubaya miss flower ?Yaani unaniogopesha tu sijui why
MakubwaMarafiki wengi wa kujuana nao ukubwani ni changamoto ila mwisho wao ni mbaya Kuna mmoja alikuwa ananifanyia kama hivyo nimekutana naye Sasa hivi chizi
Kubaya sio kuzuri sorryKukuogopesha huko ni kwa aina gani kuzuri au kubaya miss flower ?
Kweli ng'ombe wa maskini hazai [emoji2][emoji124][emoji124]Kubaya sio kuzuri sorry