Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

Daah pole mie kisa changu ni chakichawi .
Nimeamini marafiki nimewasaidia hadi na sasa sijaolewa , sijafika nitakako kisa wao mtu anakuchukulia nyota yako ili aolewe ,ili awe na biashara kubwa na nzuri , ili aende kufanikisha kila atakalo yeye anakiacha huna mbele wala nyuma unakwama hadi unatafuta wanaume mitandaoni na huku mimi sikuwa napendwa na watu hoi hoi ni vifaa kweli .
So maisha ndio hayoo . Niliewekewa kizuzi nisiolewe , nisiwe naufahamu wakuwa umri unasonga .

Walahi saivi siitaji marafiki kwasasa hujui adhari zao hadi ukwame ndio ujue .

Kazi nilikuwa napata haraka sana napendwa nakuaminika .

Ee mola niepushe na hao marafiki sitaji marafiki .
Walahi
Kwamba kipaumbele chako ni kuolewa😀
 
Kuna mshenzi mmoja nilimkaribisha kulala maana alichelewa kwake.
Asa kuna sehemu chupa flani ya glass nilikua kila nikirudi home masalia yote najaza humo na kuna siku nilitoa hela ya manunuzi cash mzigo flani bahati mbaya ikapungua nikalipa na card ile pesa cash kurudi home nikaijaza mle.
Aisee chupa ilikua peupe tu transparet maana sikuwa na idea angekuja mgeni hela zinaonekana.
Yule mjaa laani alikwapua zooote
Bahati asubuhi nikamwamsha aondoke niende job.
Ndio kaenda bafuni nikashtuka nicheki ile chupa.
E bana emptyyy sikuamini,ilikua km na laki 5+ mle ndani zimekwenda.
Niliangaishana na yule fala mpk nikaita polisi.
Da badae nikamuonea imani maana ni mgonjwa na alikua na issue na polisi pia muda.
Nikamwachia.
Ila yule laana-kum hela yangu atailipa siku moja kwa njia yoyote popote aliko.
 
mkuu tusizungumze sana nenda kwa box lake akupe namba umrudishie kama wahisi iyo pesa ni ndogo

mkuu acha dharau, kuna watu shilingi elfu kumi ni fedha kubwa mnoooo ila kwako ni fedha ya kawaida sana.

kama umejaaliwa kuwa na kipato mshukuru muumba sio kejeli
Mkuu huoni id yake imeandikwa bukoba ina maana hujawazoea tu hawa watu wa lile kabila
 
Hivi hii kitu inawezekanae?,mm kuna marafiki nipo nao since nimewakaribisha kwangu na wenyewe kuanza kuwa wajanja mm mambo yangu yamekwama kinoma,mpaka kuna muda nawawazia vibaya.....
Yapo ndugu yangu yaani wanakurudisha nyuma nakukufungia riziki hii yote sijajua ila nimekuja kujua rafiki zako ndio maadui zako.
Nipo serious sikuwa najua haya
 
Back
Top Bottom