Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

mkuu tusizungumze sana nenda kwa box lake akupe namba umrudishie kama wahisi iyo pesa ni ndogo

mkuu acha dharau, kuna watu shilingi elfu kumi ni fedha kubwa mnoooo ila kwako ni fedha ya kawaida sana.

kama umejaaliwa kuwa na kipato mshukuru muumba sio kejeli
Sifa tuu za kijinga za kujiona bora kuliko mwenzie! Ukute hata akiba hana lkn kushusha wenzie moto! Ila sishangai bukoba ndo zao!
 
Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017!

ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma.

Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa anamaliza mwaka wa kwanza wa masomo yake alipigia akaniomba aje afikie kwangu aendelee na kibarua chake pale pepsi, wakati uo mimi nilisha achaga nikawa nafanya mishe zangu mwenye za kujiajili, Bila hiyana nilimkaribisha kwangu kwa maana mi nilikuwa nimepanga yeye bado alikuwa akiishi kwao maeneo ya Buza.

Tuliishi pamoja kama marafiki na nilimchukulia kama mdogo wangu maana nimemzidi umri kwakweli, kama haitoshi bado nikawa namuachia 3000- 2000 Tsh nikiwa natoka asubuhi ili awe anajikimu mchana ila usiku nilikuwa nampa hela anaenda nunua msosi wa wote tunakula, tuliendelea hivi mpaka kila likizo akiwa anarudi akawa anafikia kwangu na mwisho mpaka alipomaliza chuo akaomba aje kukaa kwangu, bila hiyana nilimpokea maana nikiamini ndiyo kupambana hivo.

Mwaka jana 2021 alirudi akiwa amemaliza ila nilimwambia mapema kuwa safari hii siko vizuri naye akasema sawa kwakuwa kuna kibarua anatarajia kupata huko Masaki sio mbaya kuhusu hela ya kula na mambo mengine angejitegemea, nilimwambia sawa hamna shida na kweli akaja kwangu tukachili pamoja kama kawaida.

Alianza kibarua Masaki japo sikuwahi kufika hapo ofisni kwake ila aliniambiaga kuwa ni Stationary akiwa na jamaake mmoja ambae alidisco huko Udom. safari hii sikuwa nampa ata 100 maana nilishamwambia kuwa asije akaja akanitegemea kwani uchumi wangu umeyumba kidogo.

Nakumbuka ilikuwa Mwezi wa 11 sikumoja narudi home majira ya saa 1 usiku nikakuta mlango wa geto ukowazi! nilishangaa ila nilijiongeza nikahisi labda jamaa kawahi kurudi anaburudika labda na dem lake, nikajifanya kukohoa huku nje na nikikung'uta viatu lengo langu likiwa anisikie aje kuniblock kuwa yuko na manzi ndani.

Ajabu bado niliona kimya bado huku taa ikiwa imezimwa ndani! niliamua kuingia ndani ila nilikuta kmazingira tofauti na niliyoyazoea.

Kwanza nilikuwa na Kabati la nguo la milango mi4 na katika mlango mmoja chini yake kuna droo mbili! katika zile droo mbili moja la chini kulikuwa na hela Tsh 320,000/= na droo la juu nilikuwa kil nikirudi jion naweka Tsh 3,000/= na sometime nilikuwa najichenjishia naweka Tsh 5000 huku nachomoa 2000, lakini katika Droo zile zote nilikuta ziko wazi na funguo zake zikining'inizwa na nyingine kutupwa pembeni! sehemu ya katikati ambayo nikipanga nguo ikowazi na nguo zimetupwa na kuchambuliwa.

Mlango mmoja ambao alikuwa anautumia huyu Rafiki yangu nao ulikuwa wazi na nguo zake zimechambuliwa na Wallet yake ikiwa juu kabisa tena ikiwa wazi! droo moja ya juu tu nilikuta imeachwa elfu 10 ya bukubuku na droo ya chini ambayo ilikuwa na Tsh 320,000/= imechukuliwa hiyo hela ila limeachwa boksi la pasi ambalo lilikuwa na Coin ambazo nikiziwekaga tu.

Nilitoka njee ya geti nikaenda dukani palepale nilipopanga nikamuuliza jamaa ambae anauza dukani maana yeye yupo kutwa pale! lakini baada ya kumuuliza alikuja ndani kwangu kuangalia akanijibu kuwa hajui na hajamuona mtu anarudi pale.

Kiukweli sehemu ambayo ninaishi usalama hupo 100%, sio sehemu ambayo kunakuwa na ingia toka za watu wasiohusika kabisa! Niliamua kumpigia sim yule rafiki yangu nae akanijibu kuwa hajatoka kibaruani kwake ila alisema ngoja afanye mpango wa kufunga arudi maana taarifa ile ilimshtua.

Alirudi ila kiukweli nae alionesha utokujua chochote zaidi funguo sehemu ambayo aliiweka wakati anaondoka kuna mmama ambae ni dada wa mama mwenyenyumba ndiye alimuona! Aaaah kiukweli kwa kufupisha stroy sikuchukua hatua zozote zaidi nilihisi eidha mpangaji wa mle ndani au huyo bi mkubwa ndo wamehusika na huu wizi huyu rafiki yangu sikumtilia shakha ata kidogo.

Licha yakuwa funguo wa zile kabati nilikuwa naficha sehemu ambayo napanga nguo kwenye kabati nikiweka kwenye mfuko wa suruari mojawapo zilizokunjwa ila mwizi yule alitafuta funguo na kufungua zile droo then kubeba hela na kuamua kuacha Tsh 10000 tu tena za bukubuku.

Mwezi mmoja tu badae yaani mwezi wa 12 siku ya jumapili ambapo mimi kutkana na miangaiko yangu nakuwa kibaruani kwangu yeye hubaki nyumbani! Majira ya mchana alinipigia simu na kuniomba nimuazime Tsh 150,000/= kwani babaake anaumwa sana pressure ya kushuka na kadondoka kakimbizwa Hospital then atanirudishia after 1 week! nilijipapasa nikajikuta nina elfu 70 mfukoni mwangu ila siwezi kutoa zote na home kwenye lile droo ambalo liliibwa Tsh 350,000 lilikuwa na 120,000 kwa siku hiyo!

kwakweli nilimjibu hapa nilipo nina elfu 40 kama vipi nikutumie utafute kwa watu wengine uongezee uwatumie huko Moshi wampatie matibabu! akanijibu subiri kidogo nakurudia ila hakunitafuta tena. Jion majira ya saa 18:30 nikarudi nyumbani nikamkuta mchizi kakaa nje anapiga stori na jamaa yule wa dukani, nikamuuliza vipi ulifanikisha?

Akaniomba tuingie ndani tuongee! kuingia ndani akaanza kuniomba msamaha kuwa aliona atafute mle ndani akakuta 120,000 kwenye droo akachukua! nilimuuliza umeiona vip wakati mi nafunga na funguo naficha? akasema nilitafuta tafuta tu nikakuta funguo hapo nikahisi ni za droo ndo nikafungua nikakuta hela ila naomba uniwie radhi narudisha week ijayo bi mkubwa akachukua kwenye vikoba vyake sasahivi naomba nimsaidie Mzee!

Mwisho wa siku nilikausha tu japo nilianza kupata na mashakha na nikaacha kuweka hela tena zaidi niliacha yale macoin bado yapo karibu robo ya boksi.

Hapo siku moja asubuhi natoka kuoga nikakuta droo lenye boksi la chenji linakauwazi! nikajiuliza hivi sikufunga hizi droo! nikaangalia lile boksi ndani aaah tayari gepi lilionekana! nikafunga then funguo nikawa natokanazo kama funguo nyumba tu!

Matukio ya kunyofolewa elfu 5, elfu 4 kwenye mifuko ya jeans ilikuwa inaanza kushamili, nikisahau hela suruali tu basi siku nikirudi siikuti! sikumoja nilitenga elfu 5 kwenye mfuko wa suruali usiku niliporudi huku nikipiga hesabu kabisa kachenji kangu 5000 kenye buku 2 moja na bukubuku 3 nitaamka nako kama nauli na kula mpaka mchana! ila ajabu huku hela nyingine nikiziweka kwenye wallet na yeye wallet alikuwa hachomoi hela ata siku moja maana akijua zile kwavyovyote vile nazihesabu, ijapokuwa wallet nikiwekaga sehemu ya wazi kabisa mezani.

Siku hiyo nimeamka asbh nimejiandaa nikaenda kupanda daladala nikiwa nimekuja kudaiwa nauli napapasa mfukoni nitoe hela ile elfu 5 niliyoweka jana na ikiwa buku moja ambayo ilikuwa imechakaa ikawa nimenyofolewa tayar na mdau! hapo nikaona isiwe tabu nikamtext kuwa mwamba embu naomba unipishe kwanza maana sasa imezidi!

Akajitetea sana ila nilimwambia we sepa tu! basi siku ya pili asbh ya tarehe 28 january 2022 aliondoka na hapo ata ile 120,000 hakunirudishia ila niliona bora aondoke. baada ya siku 2 nikiwa nimekaa na yule jamaa wa dukani ndo anakuja kunisumulia kuwa ile hela uliyokaibiwa kipindi kile alichukua yeye ila mi aliniomba nisikuambie cos alikuwa na matatizo alikamatwa hapo Station na mwenzie walimtengenezea mtu cheti feki ila yule mtu alileta askari hivo waliambiwa kila mmoja atoe laki 3 waweze kuachiwa!

Ilinikera cos jumla ya fedha ambazo zilichukuliwa ile siku ya kwanza zilikuwa Tsh 400,000/= ila sikuwa na namna kwakuwa mtu nilishamtimua sikuona haja ya kuanza kudeal nae tena wala kumtafuta zaidi niliona pesa inatafutwa basi ngoja nitafute nipate tena! Jumla ya fedha alizochukua ambazo nina hesabu nazo ni 520,000/= hizo ndo ninazo zijua ila nina hakika alishaniibia sana hasa hizi hela ndogondogo nikizoweka ila amenifunza pia nisimuamini mtu tena maana hawa wanaotia huruma mwisho wa siku ndiyo wezi wenyewe.

Mtu una Degree alafu unakuwa mwizi! Kweli Samuel ulikuwa mwehu uliepitiliza, hufai kusaidiwa kabisa.
Pole Sana Mkuu...
 
Tanzania kuishi na ndugu au mtu ambae anatafuta maisha ngumu sana mi kuna mshikaji wangu alitoka mkoani akanicheki anataka kuja kama week moja kufuatilia passport yake uhamiaji anaomba hifadhi basi nikakubali mwanzo alianza vizuri asubuhi nilikuwa namuachia hela ya kwa ajili ya chai gas ipo anachemsha chai anakunywa jioni tunadondosha ugali mkubwa siku imeisha kumbe jamaa mtu wa totoz kinoma siku ya kwanza alidai kapoteza,

simu nikaona isiwe kesi nikamtafutia kiswaswadu cha elfu 7 nikampa mi nilikuwa naagizia vitu zanzibar siku nikamwambia nifuatie mzigo wangu kuna sehemu nilikuwa nawahi nikampa elfu 50 kumbe hakwenda nikimpigia simu hapatikani jamaa wa mzigo ananipigia simu nikachukue mzigo maana ilikuwa jioni na asubuh anarudi tena zanzibar nisipochukua ataenda nao zanzibar ikabidi nijitihidi nifuate mzigo wangu ili usirudi zanzibar,

jamaa anarudi home anadai hela kapoteza hapo nikaanza kuwa na mashaka sasa hii komesha siku nimeweka laki 3 ya mzigo kwenye bag jamaa kaja kaona sipo kachukua laki moja kaamsha bila kuaga simu kazima anakuja kunitumia sms ya kuomba msamaha kesho yake toka siku hyo mpaka leo sipokei rafiki wa kulala geto mtu akipiga simu namwambia naishi na mwanamke full stop bongo ukiwa na huruma sana huendelei mda mwingine unatakiwa uwe dikteta.
 
Daah pole mie kisa changu ni chakichawi .
Nimeamini marafiki nimewasaidia hadi na sasa sijaolewa , sijafika nitakako kisa wao mtu anakuchukulia nyota yako ili aolewe ,ili awe na biashara kubwa na nzuri , ili aende kufanikisha kila atakalo yeye anakiacha huna mbele wala nyuma unakwama hadi unatafuta wanaume mitandaoni na huku mimi sikuwa napendwa na watu hoi hoi ni vifaa kweli .
So maisha ndio hayoo . Niliewekewa kizuzi nisiolewe , nisiwe naufahamu wakuwa umri unasonga .

Walahi saivi siitaji marafiki kwasasa hujui adhari zao hadi ukwame ndio ujue .

Kazi nilikuwa napata haraka sana napendwa nakuaminika .

Ee mola niepushe na hao marafiki sitaji marafiki .
Walahi
Hivi hii kitu inawezekanae?,mm kuna marafiki nipo nao since nimewakaribisha kwangu na wenyewe kuanza kuwa wajanja mm mambo yangu yamekwama kinoma,mpaka kuna muda nawawazia vibaya.....
 
Mimi kuna mmoja nimemuondoa juzi tu nilikuwa naishi nae...nikipika chakula akimaliza kula hajiongezi hata kuosha vyombo...vyombo vinaweza kukaa hata siku 3 mpaka vinanuka uvundo.....jamaa alikuwa ni muhaya...pamoja na shida zote alizokuwa nazo lakini alikuwa na dharau za kihaya balaa....jamaa hakuwa na msaada wowote ule kwangu, mbaya zaidi alikuwa ni snitch anajifanya ni msiri sana wa mambo.....nilimuambia tu brazaaa mimi nataka kuowa sepaaa...eti ananiambia sasa nitafanyaje..nikamuambia fanya utakavyoona kama vipi nenda kaombe hifadhi msikitini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwizukulu kumbe unakaa ghetto?
 
Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017!

ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma.

Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa anamaliza mwaka wa kwanza wa masomo yake alipigia akaniomba aje afikie kwangu aendelee na kibarua chake pale pepsi, wakati uo mimi nilisha achaga nikawa nafanya mishe zangu mwenye za kujiajili, Bila hiyana nilimkaribisha kwangu kwa maana mi nilikuwa nimepanga yeye bado alikuwa akiishi kwao maeneo ya Buza.

Tuliishi pamoja kama marafiki na nilimchukulia kama mdogo wangu maana nimemzidi umri kwakweli, kama haitoshi bado nikawa namuachia 3000- 2000 Tsh nikiwa natoka asubuhi ili awe anajikimu mchana ila usiku nilikuwa nampa hela anaenda nunua msosi wa wote tunakula, tuliendelea hivi mpaka kila likizo akiwa anarudi akawa anafikia kwangu na mwisho mpaka alipomaliza chuo akaomba aje kukaa kwangu, bila hiyana nilimpokea maana nikiamini ndiyo kupambana hivo.

Mwaka jana 2021 alirudi akiwa amemaliza ila nilimwambia mapema kuwa safari hii siko vizuri naye akasema sawa kwakuwa kuna kibarua anatarajia kupata huko Masaki sio mbaya kuhusu hela ya kula na mambo mengine angejitegemea, nilimwambia sawa hamna shida na kweli akaja kwangu tukachili pamoja kama kawaida.

Alianza kibarua Masaki japo sikuwahi kufika hapo ofisni kwake ila aliniambiaga kuwa ni Stationary akiwa na jamaake mmoja ambae alidisco huko Udom. safari hii sikuwa nampa ata 100 maana nilishamwambia kuwa asije akaja akanitegemea kwani uchumi wangu umeyumba kidogo.

Nakumbuka ilikuwa Mwezi wa 11 sikumoja narudi home majira ya saa 1 usiku nikakuta mlango wa geto ukowazi! nilishangaa ila nilijiongeza nikahisi labda jamaa kawahi kurudi anaburudika labda na dem lake, nikajifanya kukohoa huku nje na nikikung'uta viatu lengo langu likiwa anisikie aje kuniblock kuwa yuko na manzi ndani.

Ajabu bado niliona kimya bado huku taa ikiwa imezimwa ndani! niliamua kuingia ndani ila nilikuta kmazingira tofauti na niliyoyazoea.

Kwanza nilikuwa na Kabati la nguo la milango mi4 na katika mlango mmoja chini yake kuna droo mbili! katika zile droo mbili moja la chini kulikuwa na hela Tsh 320,000/= na droo la juu nilikuwa kil nikirudi jion naweka Tsh 3,000/= na sometime nilikuwa najichenjishia naweka Tsh 5000 huku nachomoa 2000, lakini katika Droo zile zote nilikuta ziko wazi na funguo zake zikining'inizwa na nyingine kutupwa pembeni! sehemu ya katikati ambayo nikipanga nguo ikowazi na nguo zimetupwa na kuchambuliwa.

Mlango mmoja ambao alikuwa anautumia huyu Rafiki yangu nao ulikuwa wazi na nguo zake zimechambuliwa na Wallet yake ikiwa juu kabisa tena ikiwa wazi! droo moja ya juu tu nilikuta imeachwa elfu 10 ya bukubuku na droo ya chini ambayo ilikuwa na Tsh 320,000/= imechukuliwa hiyo hela ila limeachwa boksi la pasi ambalo lilikuwa na Coin ambazo nikiziwekaga tu.

Nilitoka njee ya geti nikaenda dukani palepale nilipopanga nikamuuliza jamaa ambae anauza dukani maana yeye yupo kutwa pale! lakini baada ya kumuuliza alikuja ndani kwangu kuangalia akanijibu kuwa hajui na hajamuona mtu anarudi pale.

Kiukweli sehemu ambayo ninaishi usalama hupo 100%, sio sehemu ambayo kunakuwa na ingia toka za watu wasiohusika kabisa! Niliamua kumpigia sim yule rafiki yangu nae akanijibu kuwa hajatoka kibaruani kwake ila alisema ngoja afanye mpango wa kufunga arudi maana taarifa ile ilimshtua.

Alirudi ila kiukweli nae alionesha utokujua chochote zaidi funguo sehemu ambayo aliiweka wakati anaondoka kuna mmama ambae ni dada wa mama mwenyenyumba ndiye alimuona! Aaaah kiukweli kwa kufupisha stroy sikuchukua hatua zozote zaidi nilihisi eidha mpangaji wa mle ndani au huyo bi mkubwa ndo wamehusika na huu wizi huyu rafiki yangu sikumtilia shakha ata kidogo.

Licha yakuwa funguo wa zile kabati nilikuwa naficha sehemu ambayo napanga nguo kwenye kabati nikiweka kwenye mfuko wa suruari mojawapo zilizokunjwa ila mwizi yule alitafuta funguo na kufungua zile droo then kubeba hela na kuamua kuacha Tsh 10000 tu tena za bukubuku.

Mwezi mmoja tu badae yaani mwezi wa 12 siku ya jumapili ambapo mimi kutkana na miangaiko yangu nakuwa kibaruani kwangu yeye hubaki nyumbani! Majira ya mchana alinipigia simu na kuniomba nimuazime Tsh 150,000/= kwani babaake anaumwa sana pressure ya kushuka na kadondoka kakimbizwa Hospital then atanirudishia after 1 week! nilijipapasa nikajikuta nina elfu 70 mfukoni mwangu ila siwezi kutoa zote na home kwenye lile droo ambalo liliibwa Tsh 350,000 lilikuwa na 120,000 kwa siku hiyo!

kwakweli nilimjibu hapa nilipo nina elfu 40 kama vipi nikutumie utafute kwa watu wengine uongezee uwatumie huko Moshi wampatie matibabu! akanijibu subiri kidogo nakurudia ila hakunitafuta tena. Jion majira ya saa 18:30 nikarudi nyumbani nikamkuta mchizi kakaa nje anapiga stori na jamaa yule wa dukani, nikamuuliza vipi ulifanikisha?

Akaniomba tuingie ndani tuongee! kuingia ndani akaanza kuniomba msamaha kuwa aliona atafute mle ndani akakuta 120,000 kwenye droo akachukua! nilimuuliza umeiona vip wakati mi nafunga na funguo naficha? akasema nilitafuta tafuta tu nikakuta funguo hapo nikahisi ni za droo ndo nikafungua nikakuta hela ila naomba uniwie radhi narudisha week ijayo bi mkubwa akachukua kwenye vikoba vyake sasahivi naomba nimsaidie Mzee!

Mwisho wa siku nilikausha tu japo nilianza kupata na mashakha na nikaacha kuweka hela tena zaidi niliacha yale macoin bado yapo karibu robo ya boksi.

Hapo siku moja asubuhi natoka kuoga nikakuta droo lenye boksi la chenji linakauwazi! nikajiuliza hivi sikufunga hizi droo! nikaangalia lile boksi ndani aaah tayari gepi lilionekana! nikafunga then funguo nikawa natokanazo kama funguo nyumba tu!

Matukio ya kunyofolewa elfu 5, elfu 4 kwenye mifuko ya jeans ilikuwa inaanza kushamili, nikisahau hela suruali tu basi siku nikirudi siikuti! sikumoja nilitenga elfu 5 kwenye mfuko wa suruali usiku niliporudi huku nikipiga hesabu kabisa kachenji kangu 5000 kenye buku 2 moja na bukubuku 3 nitaamka nako kama nauli na kula mpaka mchana! ila ajabu huku hela nyingine nikiziweka kwenye wallet na yeye wallet alikuwa hachomoi hela ata siku moja maana akijua zile kwavyovyote vile nazihesabu, ijapokuwa wallet nikiwekaga sehemu ya wazi kabisa mezani.

Siku hiyo nimeamka asbh nimejiandaa nikaenda kupanda daladala nikiwa nimekuja kudaiwa nauli napapasa mfukoni nitoe hela ile elfu 5 niliyoweka jana na ikiwa buku moja ambayo ilikuwa imechakaa ikawa nimenyofolewa tayar na mdau! hapo nikaona isiwe tabu nikamtext kuwa mwamba embu naomba unipishe kwanza maana sasa imezidi!

Akajitetea sana ila nilimwambia we sepa tu! basi siku ya pili asbh ya tarehe 28 january 2022 aliondoka na hapo ata ile 120,000 hakunirudishia ila niliona bora aondoke. baada ya siku 2 nikiwa nimekaa na yule jamaa wa dukani ndo anakuja kunisumulia kuwa ile hela uliyokaibiwa kipindi kile alichukua yeye ila mi aliniomba nisikuambie cos alikuwa na matatizo alikamatwa hapo Station na mwenzie walimtengenezea mtu cheti feki ila yule mtu alileta askari hivo waliambiwa kila mmoja atoe laki 3 waweze kuachiwa!

Ilinikera cos jumla ya fedha ambazo zilichukuliwa ile siku ya kwanza zilikuwa Tsh 400,000/= ila sikuwa na namna kwakuwa mtu nilishamtimua sikuona haja ya kuanza kudeal nae tena wala kumtafuta zaidi niliona pesa inatafutwa basi ngoja nitafute nipate tena! Jumla ya fedha alizochukua ambazo nina hesabu nazo ni 520,000/= hizo ndo ninazo zijua ila nina hakika alishaniibia sana hasa hizi hela ndogondogo nikizoweka ila amenifunza pia nisimuamini mtu tena maana hawa wanaotia huruma mwisho wa siku ndiyo wezi wenyewe.

Mtu una Degree alafu unakuwa mwizi! Kweli Samuel ulikuwa mwehu uliepitiliza, hufai kusaidiwa kabisa.
Hilo jina la samwel lina laana ,
 
Tanzania kuishi na ndugu au mtu ambae anatafuta maisha ngumu sana mi kuna mshikaji wangu alitoka mkoani akanicheki anataka kuja kama week moja kufuatilia passport yake uhamiaji anaomba hifadhi basi nikakubali mwanzo alianza vizuri asubuhi nilikuwa namuachia hela ya kwa ajili ya chai gas ipo anachemsha chai anakunywa jioni tunadondosha ugali mkubwa siku imeisha kumbe jamaa mtu wa totoz kinoma siku ya kwanza alidai kapoteza,

simu nikaona isiwe kesi nikamtafutia kiswaswadu cha elfu 7 nikampa mi nilikuwa naagizia vitu zanzibar siku nikamwambia nifuatie mzigo wangu kuna sehemu nilikuwa nawahi nikampa elfu 50 kumbe hakwenda nikimpigia simu hapatikani jamaa wa mzigo ananipigia simu nikachukue mzigo maana ilikuwa jioni na asubuh anarudi tena zanzibar nisipochukua ataenda nao zanzibar ikabidi nijitihidi nifuate mzigo wangu ili usirudi zanzibar,

jamaa anarudi home anadai hela kapoteza hapo nikaanza kuwa na mashaka sasa hii komesha siku nimeweka laki 3 ya mzigo kwenye bag jamaa kaja kaona sipo kachukua laki moja kaamsha bila kuaga simu kazima anakuja kunitumia sms ya kuomba msamaha kesho yake toka siku hyo mpaka leo sipokei rafiki wa kulala geto mtu akipiga simu namwambia naishi na mwanamke full stop bongo ukiwa na huruma sana huendelei mda mwingine unatakiwa uwe dikteta.
Nature ya WaTZ na blacks wengi si wa kuonewa huruma au kusaidiwa, haya mambo wanajua Wazungu
 
Back
Top Bottom