Ooh kumbe! Mi nilidhani mtoa mada ni dumeAmtongoze mwanamke mwnzake
Ha haaa mi nilijua mtoa mada ni mwanaumeIli wakasage unga
Aaaahh! Demi nitake radhi...mimi ke banaOoh kumbe! Mi nilidhani mtoa mada ni dume
Atakoma yeyeUtakoma MAIMUNA hawezi kukuacha salama
Bado sijaona package yoyote haponaona umemfungashia package yake ......dah.....
We unavyohisi huyu alikutana na jini kwa mujibu wa Maelezo yake?naam?
EheeheeheYea nimeamka salama
Sijui wewe
HahahahEheeheehe
Nikajua kuna lolote lilikupata usiku
Oooh basi we are gladHahahah
Hakuna kilochonipata mwaya
PoaOooh basi we are glad
Hata mimi sijui mkuuhivi kwann majini yanapenda kuvaa kiislamu?
Nimecheka sana mkuu!! Sio kiislam sema kiarabu na kuna tofauti kubwa kati ya uarabu na uislam na Poa niambie kuna utamaduni na imani, waafrika wengi hudhani kwamba uislam and ni pamoja na utamaduni wa kiarabu! Au ukristo ni pamoja na kuvaa kizungu yaani suti na tai! Ni mada nndefu inahitaji uzi wakehivi kwann majini yanapenda kuvaa kiislamu?
Ai babu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Siku nyingine uache tabia mbaya ya kukaa nyuma ya dadaako. Unapenda kuchabo chura wa dadaako... nimekustukia
Pole sana nduguAhsante shoo
Naomba ufungue uzi ili tupate udadavu mkuuNimecheka sana mkuu!! Sio kiislam sema kiarabu na kuna tofauti kubwa kati ya uarabu na uislam na Poa niambie kuna utamaduni na imani, waafrika wengi hudhani kwamba uislam and ni pamoja na utamaduni wa kiarabu! Au ukristo ni pamoja na kuvaa kizungu yaani suti na tai! Ni mada nndefu inahitaji uzi wake
Ahsante nduguPole sana ndugu
Acha kumtisha jamani!Pole sana... Si kila unayemuona ni binadamu wa kawaida... Wengine si binadamu kabisa... Lakini yaani mmepigana vikumbo na yeye kageuka... Nadhani muda huu atakuwa yupo pembeni mwako
MmmmmmUyo ni jini alafu mimi namjua