Yaliyonikuta jana!!

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Na miguu je anauwezo wa kuibadili?
 
Hadi nauli wanalipa kwahiyo makonda wa magari wanakutana nayo sana itakuwa
 
Daaa!!!! Unaweza
Ukatupa experince yako nyingine kuhusu Hawa viumbe????
Nisikudanganye ndugu,mi sina elimu hii zaid ya story tu za hapa na pale kuhus hawa viumbe. Ni viumbe wabaya sana,wakiamua kukutesa wanakutesa haswaa mpak utaiona dunia chungu na kutaman ufe tu
 
Duuuh!!
 
Nisikudanganye ndugu,mi sina elimu hii zaid ya story tu za hapa na pale kuhus hawa viumbe. Ni viumbe wabaya sana,wakiamua kukutesa wanakutesa haswaa mpak utaiona dunia chungu na kutaman ufe tu
Kweli mkuu
 
Wanapenda sana kukaa sehem zenye watu wengi na kujichanganya. Tunapishana na viumbe ving sana kwenye mizunguko yetu,ni Mungu Tu ndio anatulinda la sivyo wangetuumiza sana hawa viumbe
Kwakweli ndiyo maana tunaambiwa kabla ya kutoka nyumbani omba kwanza duu, Mungu atusaidiye sana
 
we demiss basi nakujuaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…