Yaliyonikuta jana!!

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Na makonda wanamioyo khaaa!!
[emoji16][emoji16][emoji16].Kuna siku walikuwa wanasimuliana wenzao waliamka usiku jaza abilia mpaka mlango ukashindwa kufunga, dereva kaendesha muda mrefu hasikii shuka kimya tu, ile kugeuka nyuma kakuta konda anakoroma pekeyake hakuna abilia hata 1[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Acha uoga ww sibora ww mm juzi kati tulikumbana hivohivo nikampiga kikumbo nilishikwa mkono kwa kulazimishwa nisalimie namuangalia vizuri mwanamke kavaa nikabu nataka nimuongeleshe kashautoa mkono anaondoka sijakaa vyema nikaona haiwezakani nataka nimfate nikashikwa na Ganzi sio ganzi misuli imefel nikabaki namuangalia ninani haswa nikaishia kumuona kwa mbali hata habari hana Jini hilo lunakusabahi
 
Kwanini wanapenda kujichanganya sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi?, huwa wanakuwa wanatafuta nini?
 
Ila alipona kwa nguvu za mkewe baada ya maombi kwa sana yeye alibaki anabembea kama kinyonga[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi alikoma na hakurudia tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ningekua dereva ningeacha gari...ndrukiiii zangu..nani anapenda kifo!!
 
'Viumbe' au shetani! Ukikutana na jini ni umekutana na shetani laivu hakuna cha 'kiumbe' hapo ni shetani ktk uhalisi wake
 
Sasa babuu atembee vipi au afumbe macho hilo haliwezi kuwepo kama kuna chura hapa karibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa kwanini hakukaa mbele yeye? Ana tabia mbaya... iko siku ataachiwa ushuzi mpk akome
 
Unachosimulia kinaendana na kisa kilichomkumba 'mtu wangu mmoja'. Yeye tulikua naye mjink, mimi nikawa nimekaa grocery, nakunywa huko mwanza, mtaa wa ghana. Yeye akaniambia kuna nguo anahitaji kununua. Akaenda duka la nguo lipo jirani na hiyo grocery, kuingia akamkuta dada amevaa dizaini kama huyo na macho kama hayo unayoyasema na yanang'aa sana. Akaogopa akaondoka dukani kwa woga, alipotoka tu akakutana na muuzaji mwingine wa hilo hilo duka, lakini huyu ni wanaume. Akamsihi arudi anunue wala asiogope. Basi kiuoga akanunua hiyo nguo. Huku huyo mwanamke mwenye macho paka ndio muuzaji. Aliporudi nilipo, kunisimulia nikamwambia hiyo nguo itupe.

Nadhani ni 'utaalamu' wa kibiashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…