Yaliyonikuta jana!!

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Hawezi shindwa... Kama kwenye umati wa watu zaidi ya 100 kakuona ww... Anaanzaje kushindwa.... Kama unabisha muulize dada yako kama alimuona mtu wa hivyo kupita mbele yake kabla ya kuja kwako
Bana ile ilikua bahati mbaya tu...na atashindwa katika Mungu ninae muamini
 
Mm nakumbuka tulienda Bahari beach kuogelea maeneo ya Tegeta katikati ya kibaoni na kwa ndevu ndio unakutana na Bahari beach basi tulivyotoka kwenye maji tukaenda kucheza mchezo wa kujichimbia kwenye michanga pembeni yetu ghafla tukaona mkaka mzuri amevaa nguo nyeupe t-shirt mpaka suruali yuko peku hana kitu chochote amesimama anatuangalia sisi tuakendelea kucheza baada kama ya dkk 1 akawa haonekani na maeneo ya beach kama mtu anatembea lazima utamuona umbali mrefu tukaanza kuogopa ghafla tunaona wakaka wengine wanakimbia wameshika nguo mkononi ikabid na sisi tutoke nduki kuelekea maeneo ya nyumba na vipensi vyetu tukafika mbele tukavaa nguo tukaenda mpaka kwenye kituo cha pikipiki tukamuuliza mmojawapo akasema nasikia watu wanasemaga huwa kuna jini la kiume toka siku hiyo sijaenda bahari beach tukahamia Mahaba beach ya BOKO.
 
Kwenye mizunguko ya watu hawa viumbe wapo sana pole mwengine angeumwa sidhan hata kama angeweza kuandika hivi

Labda ndio mie loh (jokin hahha)
Duuh!! Kumbe kuna wengine wanaumwaga?? [emoji23][emoji23] Mungu wangu ni mwema aiseee..nimeamka niko fresh hakuna hata kinachouma wala maluweluwe

Hata hivyo nlivyogongana nae kwenye kuangaliana nikajiuliza au huyu ni madame s [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni sana...napata picha mbio mlizokua mnazitoa na ule mchanga wa beach ilikuaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni sana...napata picha mbio mlizokua mnazitoa na ule mchanga wa beach ilikuaje
Hakika alikuwa jini yule maana alipotea ghafla alafu cha kushangaza tunaonana wakaka wanakimbia tukasema haya sasa ikabid tutoke ndukiii
 
Hahahhaa me hata niqab situmii kwa kweli, yeah wapo wanaoumwa nakumbuka nina ndugu yangu msim wa mpira mkasa ulitokea miaka ya nyuma kidogo, alienda cheki mpira na watoto wa baba angu mdogo, ilikua usiku karibu saa nane hivi ndoo wanarudi home, walipoenda kucheki na home n mwendo wa nusu saa tu sasa kuna msikiti yule kaka akasimana wenzake wakamuuliza vipi mbona umesimama akasema kule mbele naona watu wawili mwanamke na mwanaume wamesimama wananiangalia macho yao yamekaa kama pembe tatu wenzake wakamwmabia acha wenge twende bwana hatuwaoni akapita kiroho ngum wakapishana kabisa asubuh kuongea hawezi kama vile mtu aliepooza mama ake alapandisha akasema huyu kakutana na viunbe s wa kawaida ikabidi wenzake waseme ndio kusomewa na kutibiwa akawa sawa haya mambo yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…