Nitafanya hivyo mkuu alaf nitaleta mrejesho apa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ila ukiweza kulizoesha tumbo na ukaifuata vyema hiyo ratiba ..Aisee ni poa sana...kwanza inapunguza mafuta mwilini ..inasaidia kulainisha choo... kwa wale wenye vitambi hiyo ni 1 wapo ya tiba safi kabisa ya kuondoa kitambo..including na mazoezi asubuhi na jioni ikiwezekana
jitahidi baada ya kula matunda uwe una kunywa na maji mengi.....huwenda ikawa unatabia yakuto kunywa maji mengi aisee
Hiyo mambo ya kuliwa kiboga mmhh hapana kabisa kwanguusije kuiga yale mambo ya kutolewa marinda tuu
Wanavitu vingi mara korosho mezani, kahawa kidogo, maji nk alafu mchana ndo wanakazia na matunda. Ww unakula kitu mojaa masaa nane ? Utakufa kifalaaa.Leo nilisema niwaige matajiri mchana wa saa 8 nile matunda tu. Muda huu naelekea kusonga ugali. Njaa inauma hadi nimeukumbuka msemo wa wahenga "IGA UFE."
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nilisema niwaige matajiri mchana wa saa 8 nile matunda tu. Muda huu naelekea kusonga ugali. Njaa inauma hadi nimeukumbuka msemo wa wahenga "IGA UFE."
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavitu vingi mara korosho mezani, kahawa kidogo, maji nk alafu mchana ndo wanakazia na matunda. Ww unakula kitu mojaa masaa nane ? Utakufa kifalaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nilisema niwaige matajiri mchana wa saa 8 nile matunda tu. Muda huu naelekea kusonga ugali. Njaa inauma hadi nimeukumbuka msemo wa wahenga "IGA UFE."
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anajua ni kama formula za kiswazi kimoko baada ya masaa nane hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu kapeleka kavu kavu bora umempa tips
Alexander The Great
Nimejifunza mkuu haitotokea tenaWanavitu vingi mara korosho mezani, kahawa kidogo, maji nk alafu mchana ndo wanakazia na matunda. Ww unakula kitu mojaa masaa nane ? Utakufa kifalaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe nami nitazoeaNilifanikiwa kwa kipindi Fulani kula matunda tu usiku ila siku za mwanzo mshale ukigonga SAA nane usiku dah, unatamani uende jikoni kutafuta chochote!
Unakuja kupata usingizi SAA kumi au 11 asubuhi. Njaa ya usiku asikwambie MTU ila nilipokuja kuzoea ilikua poa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itanisaidia sana hiyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu kapeleka kavu kavu bora umempa tips
Alexander The Great
Kunywa glass ya maji kwa ku sip baada ya dakika kumi njaa inapotea.Nilifanikiwa kwa kipindi Fulani kula matunda tu usiku ila siku za mwanzo mshale ukigonga SAA nane usiku dah, unatamani uende jikoni kutafuta chochote!
Unakuja kupata usingizi SAA kumi au 11 asubuhi. Njaa ya usiku asikwambie MTU ila nilipokuja kuzoea ilikua poa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aahahahahaha umenichekesha kama si kunifurahisha looh
Kwanza jiulize kwanini uliamua kuwaiga hao unaowaita matajiri, na jiulize kwanini wao matajiri wanakula matunda mchana??!!! ulichunguza kwamba labda ni wagonjwa na sehemu ya tiba ya ugonjwa wao ni kula matunda tuu mchana?
Well kuna kipindi nilifanya majaribio na mwili wangu nikagundua mwili wa binadamu una uwezo mkubwa sana wa kuhimili vitu vingi unavyovikabili. Binafsi pia ni muasisi wa kula matunda, kipindi flani kuna hawa watu wa dini wanitwa mashahidi wa Yehova walinipa vitabu vyao wakanielimisha kuhusu yao na kusema kwa upana kuhusu bustani ya eden na mpango wa Mungu juu ya mwanadamu ulikuwaje.
Nikaanza kujiuliza je nikiishi kwa kula matunda tuu ntapata madhara yeyote, ntadhoofika? ntakuwa kama zamani?
nikajipa wiki moja ambayo sigusi chakula cha kiwandani au kilichochakatwa kwa asilimia 90. Maana yake ntakula chakula kilichochakatwa kwa asilimia 10 ambayo madhara yake hayataonekana. Maji nilikuwa nayanywa sana, matunda aina zote nakula kuanzia zambarau hadi mastafeli, na nakula mengi hadi nasikia hakuna nafasi tumboni. Matunda yanaisha haraka tumboni na baada ya hapo nikisikia njaa ni maji hadi mlo unaofuata. Sikuwa na mid snack na nilitaka kufanya hivi ili kujihakikishia immunity yangu na mwili uta respond vipi na nnchokifanya.
Niliona mabadiliko kwenye mwili wangu ila sikuwahi kuugua wala kuumwa wala kudhoofika sana sana nguvu ziliongezeka mara dufu nyege zikawa zinanipanda kila siku, ila sijajsema kama matunda yanaongeza nyege aahahahahaa
Pia shughuli unazozifanya ni zipi? ngumu au za kukaa kwenye kiti kuanzia saa 2 hadi saa kumi na moja jioni? kama unafanya kazi za kutumia nguvu kuliko akili ni wazi hili zoezi litakunyong'onyeza. Ila kama shughuli zako ni za kukaa kwa asilimia 90, endelea. Matunda ni chakula kizuri sana.
Kunywa glass ya maji kwa ku sip baada ya dakika kumi njaa inapotea.