Yaliyonikuta leo

Yaliyonikuta leo

😃😃😃😃 ila ukiweza kulizoesha tumbo na ukaifuata vyema hiyo ratiba ..Aisee ni poa sana...kwanza inapunguza mafuta mwilini ..inasaidia kulainisha choo... kwa wale wenye vitambi hiyo ni 1 wapo ya tiba safi kabisa ya kuondoa kitambi.including na mazoezi asubuhi na jioni ikiwezekana

jitahidi baada ya kula matunda uwe una kunywa na maji mengi.....huwenda ikawa unatabia yakuto kunywa maji mengi aisee
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ila ukiweza kulizoesha tumbo na ukaifuata vyema hiyo ratiba ..Aisee ni poa sana...kwanza inapunguza mafuta mwilini ..inasaidia kulainisha choo... kwa wale wenye vitambi hiyo ni 1 wapo ya tiba safi kabisa ya kuondoa kitambo..including na mazoezi asubuhi na jioni ikiwezekana

jitahidi baada ya kula matunda uwe una kunywa na maji mengi.....huwenda ikawa unatabia yakuto kunywa maji mengi aisee
Nitafanya hivyo mkuu alaf nitaleta mrejesho apa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilisema niwaige matajiri mchana wa saa 8 nile matunda tu. Muda huu naelekea kusonga ugali. Njaa inauma hadi nimeukumbuka msemo wa wahenga "IGA UFE."

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavitu vingi mara korosho mezani, kahawa kidogo, maji nk alafu mchana ndo wanakazia na matunda. Ww unakula kitu mojaa masaa nane ? Utakufa kifalaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilisema niwaige matajiri mchana wa saa 8 nile matunda tu. Muda huu naelekea kusonga ugali. Njaa inauma hadi nimeukumbuka msemo wa wahenga "IGA UFE."

Sent using Jamii Forums mobile app

Aahahahahaha umenichekesha kama si kunifurahisha looh

Kwanza jiulize kwanini uliamua kuwaiga hao unaowaita matajiri, na jiulize kwanini wao matajiri wanakula matunda mchana??!!! ulichunguza kwamba labda ni wagonjwa na sehemu ya tiba ya ugonjwa wao ni kula matunda tuu mchana?

Well kuna kipindi nilifanya majaribio na mwili wangu nikagundua mwili wa binadamu una uwezo mkubwa sana wa kuhimili vitu vingi unavyovikabili. Binafsi pia ni muasisi wa kula matunda, kipindi flani kuna hawa watu wa dini wanitwa mashahidi wa Yehova walinipa vitabu vyao wakanielimisha kuhusu yao na kusema kwa upana kuhusu bustani ya eden na mpango wa Mungu juu ya mwanadamu ulikuwaje.

Nikaanza kujiuliza je nikiishi kwa kula matunda tuu ntapata madhara yeyote, ntadhoofika? ntakuwa kama zamani?

nikajipa wiki moja ambayo sigusi chakula cha kiwandani au kilichochakatwa kwa asilimia 90. Maana yake ntakula chakula kilichochakatwa kwa asilimia 10 ambayo madhara yake hayataonekana. Maji nilikuwa nayanywa sana, matunda aina zote nakula kuanzia zambarau hadi mastafeli, na nakula mengi hadi nasikia hakuna nafasi tumboni. Matunda yanaisha haraka tumboni na baada ya hapo nikisikia njaa ni maji hadi mlo unaofuata. Sikuwa na mid snack na nilitaka kufanya hivi ili kujihakikishia immunity yangu na mwili uta respond vipi na nnchokifanya.

Niliona mabadiliko kwenye mwili wangu ila sikuwahi kuugua wala kuumwa wala kudhoofika sana sana nguvu ziliongezeka mara dufu nyege zikawa zinanipanda kila siku, ila sijajsema kama matunda yanaongeza nyege aahahahahaa

Pia shughuli unazozifanya ni zipi? ngumu au za kukaa kwenye kiti kuanzia saa 2 hadi saa kumi na moja jioni? kama unafanya kazi za kutumia nguvu kuliko akili ni wazi hili zoezi litakunyong'onyeza. Ila kama shughuli zako ni za kukaa kwa asilimia 90, endelea. Matunda ni chakula kizuri sana.
 
Nilifanikiwa kwa kipindi Fulani kula matunda tu usiku ila siku za mwanzo mshale ukigonga SAA nane usiku dah, unatamani uende jikoni kutafuta chochote!

Unakuja kupata usingizi SAA kumi au 11 asubuhi. Njaa ya usiku asikwambie MTU ila nilipokuja kuzoea ilikua poa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe nami nitazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifanikiwa kwa kipindi Fulani kula matunda tu usiku ila siku za mwanzo mshale ukigonga SAA nane usiku dah, unatamani uende jikoni kutafuta chochote!

Unakuja kupata usingizi SAA kumi au 11 asubuhi. Njaa ya usiku asikwambie MTU ila nilipokuja kuzoea ilikua poa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa glass ya maji kwa ku sip baada ya dakika kumi njaa inapotea.
 
Tatizo najaribu sana tu kula hivyo ila kazini nilipo kuna ka upepo

kanatokeaga wapi hata sijui,kanakujaga tu siku kakijua nimekula matunda

nikirudi tu nikakaa nitaanza sikia harufu za nyama choma,mara pilau,mara kiepe

yani najitahidigi kupuliza air fresh ila wapi ile harufu haikati mpk nikafate hilo pilau au nyama

Nishajaribu sana ila hii harufu inaniviziaga tu nimemaliza kula matunda,inakuja kwa speed mno

namimi kero za hii harufu kuzihimili siwezi huwa najikuta nishafata mishkaki na kiepe Muda tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaahh iyo aya ya pili toka mwisho imenifrahisha sana. Sema nini hyo aya ya mwisho ni nzuri sana na ngoja niichukue hyo

Back
Top Bottom