Yaliyonikuta mwaka 2008 nilipopanda basi moja na mama mkwe wangu niliyekuwa namuheshimu

Chai ya moto sana, 2008 basi lina charging syetem?

Bus gani hilo
Safari masaa sita wapi to wapi
Maana usije twambia katav sumbawanga mpaka leo hawana hizi gari
 
Tukitangaza vikao vya wanaume humu hamji wala hamjisumbui ....sasa matokeo yake ni haya.Sheria za wakwe kipengere no nne tulisema ni marufuku kukaa karibu na mkwe wako iwe nyumbani hata kwenye gari.Ww gari lina siti zaidi ya sitini ulishindwa nn kumwambia agent akate tiketi mbili sititofautiau..???
 
Unakaa siti na mama mkwe akijinyea je au wewe ukajinyea aibu utaweka wapi mkuu๐Ÿค”
 
Magari classic yalikuwepo mfano MOMBASA RAHA PIA KUNA YALE TOFIQ NA TACKIM PIA KULI KUA NA MABASI YALIYO HUSISHWA NA FREDRICK SUMAYE NIMEYASAHAU JINA.
 
Sasa aibu ya nini kwani mama ako huyo usikute yeye alikua anakushangaa unavyoogopa
 
Mimi sijui nipoje simuogopi ivyo mama mkwe Bali namuheshimu Sana Ila huwa sinaga hofu ya kulitiliza au kuwa na nizamu ya uoga.

Ningemfuata dereva au wahudumu kuwa ambia wazime mziki wa kihuni ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ