secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #101
Watu wengi hula mama mkwe ila kwa baba mkwe sidhani kama Kuna mtu ataweza zaidi ya huyo mfanyakazi wa reli.mkuu
Nasema hivyo namanisha na jamaa yangu mmoja yuko Shirika la reli nchi yakusadikika ,Amepiga wote kabakiza dingi(mkwewake
Ka story kana mahazi yake ya kipuuzi nacheka mbavu Sina😂😂😂😂😂Mwaka 2008 nilipanda basi moja na mama mkwe wangu ambaye nilikuwa ninamuheshimu kuliko hata mama yangu kutokana na umri wake wa makamo (alikuwa mwalimu wa shule ya msingi aliyekaribia kustaafu na mtu wa dini sana).
Kwenye basi nilikaa naye pamoja na safari ilikuwa ya masaa sita (6) na kwa sababu basi lilikuwa classic tuliamini kuwa safari ingeenda vyema pasipo na uchovu (lile basi lilikuwa na sehemu ya kuchajia simu pia kulikuwa na Television).
Kwa kuwa gari lile lilikuwa na Television basi ngoma kadha wa kadha zilianza kuporomoshwa. Wakaanza kupiga nyimbo za kiislamu yaani kaswida hadi zikaisha, zikapigwa gospel za kilokole pamoja na Luturujia za RC nazo zikaisha, wakaingia kwenye zile za kikongo ambazo wasanii wake wana suruali pana (jeje) nazo zikaisha.
Shida ilianza pale zilipoanza kupigwa Bongo flava pamoja na mchanganyiko wa nyimbo za kinaijeria na za kimarekani kwani mbususu za wanawake waliokuwa kwenye videos zilikuwa wazi kama za mbuzi.
Mimi huwa napenda sana kuangalia muziki hivyo kwa sababu nilikuwa na mama mkwe nilishindwa kuangalia zile videos kwa uhuru lakini zile za kidini niliziangalia kwa uhuru huku nikipiga story na mama mkwe juu ya zile nyimbo lakini kwenye hizi zenye uchi nje nje niliona haya.
Mtu mzima secretarybird kwa aibu nikajifanya naangalia nje kupitia dirisha kumbe macho nimeyageuza kimtindo 😂kuelekea kwenye screen yaani macho niliyageuza kama kinyonga ili tu nisipitwe na uhondo na kwa bahati mama mkwe hakujua kama nilikuwa naangalia zile nyimbo😃.
Kwenye sitinya nyuma yetu Wana wawili wa makamo kaanza kunong'onezana, eti "yaani shonga mwenzako naona aibu kuangalia video kama hizi na watoto wetu, hii ni aibu😹"
Ilikuwa patashika nguo kuchanika.
Cc realMamy Mshangazi dot com Anastasia21 Binti Sayuni03 Nusratt BICHWA KOMWE -.
Hahaha 😂🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅
Wewe tutaenda chumbani kwenye mwanga
Usitufanye mazwazwa mkuu labda unafanya utani.Amini usiamini mkuu😎
Kitoto cha 2000 kinajidanganya. Hakukuwa na hiko kitu.2008 basi zilikua na sehem za kuchajia emb nikumbusheni wakongwe!!?
Haina chembe ya huruma.Unaijua duNia haina huruma,
Hii ni true story ambayo ilinipa wakati mgumu sana.Ka story kana mahazi yake ya kipuuzi nacheka mbavu Sina😂😂😂😂😂
Sema pia mwanga ukiwa mwingi sana kama tuna-shoot video, haipendezi,ka-dim light flani hivi kanatosha,mimi siyo kwamba naifanyia ukaguzi au nini,,mmmh mimi ni kujilia tu taratibu mpaka pale utakapo omba po!🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅
Wewe tutaenda chumbani kwenye mwanga
Utadindisha mpaka unaingia Magufuli stendi.Haiwezekani kwakweli 😁
Sawa kabisa.Sema pia mwanga ukiwa mwingi sana kama tuna-shoot video, haipendezi,ka-dim light flani hivi kanatosha,mimi siyo kwamba naifanyia ukaguzi au nini,,mmmh mimi ni kujilia tu taratibu mpaka pale utakapo omba po!
Ila kwer ata mimi siwezi ntakua busy na kutazama miti inakinbiaje nje😂😂😂Hii ni true story ambayo ilinipa wakati mgumu sana.
Nilijiona mjinga sana.
Hahaha 🤣, kwa kuangalia video kule kwa kujibanza kama mtoto mdogo najiona mjinga sana.Usitufanye mazwazwa mkuu labda unafanya utani.
Hapa penyewe najaribu kuudanganya ubongo uwaze mambo mengine ila waapi, ni kale kadude kwenye bio yako kamehamia kichwani mwanguUtadindisha mpaka unaingia Magufuli stendi.
Sema una Nyash dah😎Sawa kabisa.
Basi subiri
Hakika mkuu.Ila kwer ata mimi siwezi ntakua busy na kutazama miti inakinbiaje nje😂😂😂
Haya endeleeni na ujinga wenu ila 2008 hakukuwa na basi zenye charging system. Inawezekana kipindi hiko haukuwa umezaliwa au ulikuwa huchagui pa kunya.Hahaha 🤣, kwa kuangalia video kule kwa kujibanza kama mtoto mdogo najiona mjinga sana.
Pole kwaiyo wale watu waliishiaje nyuma ya siti yenu😂Hakika mkuu.
Katupanga hapa😂Haya endeleeni na ujinga wenu ila 2008 hakukuwa na basi zenye charging system. Inawezekana kipindi hiko haukuwa umezaliwa au ulikuwa huchagui pa kunya.
Pole na byeeeeeeeee