Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

We mpatie,ila akienda kuoga,hakikisha umeweka pesa zako kwake,sijawahi kuibia toka nianze kuwafanyia hivyo.Maana hawezi kuvaa Nguo,kabla hajachukua funguo,na funguo zimo kwake.
Akianza kuondoka atajisachi pesa zake ataziona na funguo. Anyway mimi hii njia siwezi ni risk sana
 
Haya mambo usiombe yakakukuta
 
Akianza kuondoka atajisachi pesa zake ataziona na funguo. Anyway mimi hii njia siwezi ni risk sana
Kwa saikolojia ya kawaida,anatafuta funguo iliko,akiipata ndiyo anaenda kwenye nguo zake,akavae asepe,hawezi kuwaza kua funguo kawekewa kwenye nguo zake.Hiyo ya yeye kujisachi kuangalia kama pesa zake zipo,hiyo ni kama amelala na mwanaume mwizi.Anyway kila mtu na mbinu zake,lakini yangu hii sijawahi kuibiwa.
Kabla ya hii nilikuaga nachukua pesa,nazitoa kwenye wallet, naziweka kwenye miguu ya kitanda,yote minne,nazikandamiza,yaani nazigawagawa,halafu tunalala.
 
Hii nizaid ya gereza dah [emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji16][emoji16] [emoji119]mbinu za kijasusi hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…