luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Kuchana godoro sio poa unaharibu mali za watu.Ukiuzamisha kwenye godoro hawezi sanda[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakubal unyama unyamani[emoji109]nakumbuka mara ya kwanza kufika singida ilikua 2012 nililala sehem inaitwa aqua uzuri bag lenye laptop wanakushauri uliandikishe pale mapokezi wanakuhifadhia sasa nikapata kamlupo nikazama nako ndichi mida ya sa nne mambo yakafanyika sasa nilikua na fungua ambayo inafanana na ya kitasa cha hicho chumba hivyo nilipokua nafunga nikachomoa funguo kwakua haikua na kibanzi kinachoonyesha namba ya chumba ile yangu nikaweka kwenye mfuko wa suruali ile ya mlango wa gest nkaiweka kwenye mfuko wa bukta bila yy kuniona bas tukalala usiku nikamsikia anaamka kavaa akachukua simu yangu wallet kakagua ina hela kidogo akachota akakagua begi langu hakupata cha maana bas akachukua suruali akatoa funguo huku ananiangalia kama bado nimelala akaweka ili afungue ikagoma akajua kabugi akarudisha kilabkitu mahali pake akavua nguo akarud kulala nikajidai nimestuka nikamuomba mchezo nikashindua tena sasa nimemaliza nkamwambia ulikua unataka kusepa haya ondoka na mida hiyo ni sa tisa nkamfukuza na hela niliyompa nikamnyang'anya walinzi walipokuja nkawachana nn kilichotokea wakasisitiza nimpe hata hela ya usafiri ikaitwa boda akasepa ila ningekaa kizembe ningeibiwa vibaya na ningetoka na aibu sana
Sindio hapo sasa, yani mimi sinaga muda huo ni kuchapa mwanzo mwisho nikipumzika kidogo tu kisteringi umakini asilimia mia napanda tena ivyo mpaka asubuhi.We unachukua malaya alafu unalala aisee, kwani huyo malaya umemchukua ili akulinde ukilala ? Au huna kifanyio
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Sindio hapo sasa, yani mimi sinaga muda huo ni kuchapa mwanzo mwisho nikipumzika kidogo tu kisteringi umakini asilimia mia napanda tena ivyo mpaka asubuhi.
Hiyo ya kufungiwa nje kukitokea na ajali ya moto😂Uchovu wa safari plus uchovu wa laga.
Ukichukua malaya kabidhi KILA kitu reception,au omba dada wa reception awafungie kwa nje. La sivyo umepigwa.
Nilitaka niseme hili, kama mwanamke simjui!! Hotel lazima ijielewe sana kuanzia mazingira, ulinzi hadi wahudumu!Umasikini wa eneo unaelezea tabia za wahusika. Hiyo ni lodge na ndiyo maana ni wajinga wajinga na wezi. Siku nyigine kalale hotel kubwa, lipa gharama kubwa na chukua baby wenye kiwango kikubwa
Huduma wanyotoa pale ni zaidi ya 2Mkwa mwezi haina haja yakuogopaKuchana godoro sio poa unaharibu mali za watu.
Hii technique ni high risk ila nimeikubali, smart moveDawa unafunga mlando funguo unaficha kwenye mkoba wake, hata ukilala fofofo ufunguo haupati kwani yeye atakuwa anatafuta kwenye vitu vyako bila kusachi mkoba wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila nyiee matesoo makali sanaa...Kwa saikolojia ya kawaida,anatafuta funguo iliko,akiipata ndiyo anaenda kwenye nguo zake,akavae asepe,hawezi kuwaza kua funguo kawekewa kwenye nguo zake.Hiyo ya yeye kujisachi kuangalia kama pesa zake zipo,hiyo ni kama amelala na mwanaume mwizi.Anyway kila mtu na mbinu zake,lakini yangu hii sijawahi kuibiwa.
Kabla ya hii nilikuaga nachukua pesa,nazitoa kwenye wallet, naziweka kwenye miguu ya kitanda,yote minne,nazikandamiza,yaani nazigawagawa,halafu tunalala.
Angeishia tu kuandika KOMA KUCHUKUA MALAYA. Kwani unawez kumjua malaya kwao wapi? Interest yako ni mbusus, kujua anakotoka inahusikaje hapa?Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndokuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.
Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 ni kachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukuwa Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.
Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUWA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mm ni mwanaume nilijikaza kisabuni wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijuwi heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga View attachment 2330016
Dawa ya yote haya ni kupiga mbususu kwa muda tu, sio mpaka asubuhi. Mkimaliza idadi ya mabao asepe, wewe unalala zako usingizi wa mtoto mchanga!Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?
Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Binafsi usingz unakuwa wa machale tu na muda mwingi silaliKwani shida iko wapi, sema kinachohitajika ni careness tu
Mnajitia Stress tu Zisizo na Maana. Ndio maana Mnakufa Haraka kwa Kuendekeza Pombe na Malaya.. Unalala mwili umechoka na Umeibiwa unategemea utatoboa 50 years kweliUnachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?
Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Wapo wanaojilinda wanagongwa na magari wanakufa.Mnajitia Stress tu Zisizo na Maana. Ndio maana Mnakufa Haraka kwa Kuendekeza Pombe na Malaya.. Unalala mwili umechoka na Umeibiwa unategemea utatoboa 50 years kweli
Utang'oka na mlango.Hiyo ya kufungiwa nje kukitokea na ajali ya moto😂
You're speaking from experience mkuu duh😂😂Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?
Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Umeongea ukweli ila nawewe acha zinaaMnaogopa kuibiwa kuliko kuogopa magonjwa
Mnaogopa kuibiwa kuliko kumwogopa Mungu kwa dhambi ya uzinifu
Hakuna aliyekamilika ila mnajua kuwa ukilala na malaya unabeba maroho yake yote, imagine kashalala na wanaume wangapi? Ana maroho mangapi , unabeba mnapeleka kwenye ndoa zenu kwa mlio na ndoa na hapo ndo mwanzo wa mafarakano, familia magonjwa, mikosi, kukosa amani na furaha
Starehe ya muda mfupi inamadhara makubwa kama sio kimwili sababu mnasema mnatumia Kinga ila madhara ya Kiroho
Mungu aturehemu na hiki kizazi chetu aisee
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Nzuri na salama kama pesa ipo kodi vyumba viwili moja tunza vitu chako vya thamani. Au piga shoo lakini Hakuna kulala yaani unamlipa chake mnaagana huku mnaonana na sio anakuaga upo usingizini. Unalala na kahaba eti akupe joto kwani mkeo huyo. Yeye yupo Kazi sinzia ulie.