Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Angeishia tu kuandika KOMA KUCHUKUA MALAYA. Kwani unawez kumjua malaya kwao wapi? Interest yako ni mbusus, kujua anakotoka inahusikaje hapa?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Huu ujumbe ulinitia hasira mpaka basi
 
Nilitaka niseme hili, kama mwanamke simjui!! Hotel lazima ijielewe sana kuanzia mazingira, ulinzi hadi wahudumu!

Mali zote, zinaachwa reception, mpaka simu!
Yote hayo kisa kuogopa kuibiwa tu, bora usiwe unalala na Malaya tu
 
Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?

Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Sitakaa ninunue hayo makitu.
Miaka ya nyuma Nilikutana na binti kisu sana Kahama.
Nilipoingia lodge nilificha ufunguo ndio ilikuwa pona yangu lkn hofu niliyokuwa nayo niliapa siwezi tena kulala au kununua mtu milele.

Nimeokoka hayo makitu🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…