Na usinyonye matiti yao,maana nasikia wengine huweka madawa ya kulevya kwenye matitiUnachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?
Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Na usinyonye matiti yao,maana nasikia wengine huweka madawa ya kulevya kwenye matiti
Mimi sijawah kulala na malaya nikiwa nimelewa
Ufungiwe kwa nje ikitokea hatari labda moto unatokaje ?Unamwambia mtu wa mapokezi awafungie kwa nje au funga mlango ficha funguo, zikifeli hizi dawa ni kuacha uzinifu mrejee mola wako
🤣🤣Kuna gest nyingine vitanda vyao vimejengelewa vya siment hapo unatumia mbinu gani nyingine.
#MaendeleoHayanaChama
Ukishakula mzigo ukilala ni gofofoUnachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?
Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndokuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.
Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 ni kachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukuwa Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.
Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUWA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mm ni mwanaume nilijikaza kisabuni wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijuwi heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga View attachment 2330016
Mkuu kivipi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huyu jamaa story zake ni za kufikirisha sana.
Ila unawatafunaNimezunguka na ninazunguka mikoa mbalimbali kikazi, lakini kulala na malaya mpaka asubuhi ni mwiko.
Unaweza. Sema wewe. Sterling,. Lakini hata craig David nae katika die another die alipoamka. Hakumkuta. Mwanamke aliyekuwa. Anamtomba. Usiku.Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?
Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Si unaona we mwenyewe unakumbuka tukio la kuibiwa!! Ilikuuma ujueYote hayo kisa kuogopa kuibiwa tu, bora usiwe unalala na Malaya tu
Haswaa ndo maana naacha hapo, lakini kuna sehem kuna safe kabisa ya kuweka vituMimi hata reception huwa siwaamini japo Mali zako zikipotea reception boss anakuwa liable
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?
Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Malaya akimaliza alichokijia alipwe na asepe, sasa kulala nae chumba kimoja ili iweje na kazi kishamaliza???Unalala na malaya funguo unaacha mlangoni kweli we mjini bado sana,ukilala na malaya kitanda unakisogeza mlangoni hatoki mtu
Likitokea tatizo mfano moto inakuwaje, au ndio unasubiria muhudumu aje akufungulie.Mi huwa namwambia kabisa reception atufungie aende na funguo afungue kesho sa nne.
Ukiamka usiku imedinda jeMalaya akimaliza alichokijia alipwe na asepe, sasa kulala nae chumba kimoja ili iweje na kazi kishamaliza???
Utang'oka na mlango.
Unavunja mlangoLikitokea tatizo mfano moto inakuwaje, au ndio unasubiria muhudumu aje akufungulie.