Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?

Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Na usinyonye matiti yao,maana nasikia wengine huweka madawa ya kulevya kwenye matiti

Mimi sijawah kulala na malaya nikiwa nimelewa
 
Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndokuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.

Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 ni kachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukuwa Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.

Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUWA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mm ni mwanaume nilijikaza kisabuni wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijuwi heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga View attachment 2330016

Nimezunguka na ninazunguka mikoa mbalimbali kikazi, lakini kulala na malaya mpaka asubuhi ni mwiko.
 
Huwa nautupa ufunguo kwa nje... Either dirishani au kwenye korido... Nalala usingizi mtamu...

Akiwa na smartphone huwa nakua makini... Ni bora nikae macho nitaufidia usingizi kesho yake... Unaweza shangaa picha zako za uchi ukazikuta sehemu ''shoga huyo anatafuta bwana wa kumfira...''
 
Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?

Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Unaweza. Sema wewe. Sterling,. Lakini hata craig David nae katika die another die alipoamka. Hakumkuta. Mwanamke aliyekuwa. Anamtomba. Usiku.
 
Wakati mnapeana hayo maujuzi mkumbuke hao Malaya pia wapo humu, wakati unaficha kwenye socks nayeye akishakuibia akaukosa ufunguo moja kwa moja kwenye socks alaf anaukuta sasa...ushapigwa hapo

Kuna Uzi upo humu mtoa Uzi alianalyse njia nyingi Tu za kukwepa kuibiwa na Malaya, moja ya njia anasema ukishafunga mlango wakat yeye anaenda kuoga ww chomoa ufunguo uweke nyuma ya TV flat screen kama ipo, hatokaa aione
 
Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?

Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom