Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?

Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Nilichukuaga bitch mmoja Njombe maeneo ya Equator Pub nikazama nae Lodge inaitwa P-Square kwa makubaliano ya mpaka morning(wakati huo nimeshafanya Pre-paid kama nanunua Luku), alivyoingia bafuni tu mimi nikaficha funguo chini ya godoro.
Basi bana baada mshikemshike wa first half nikazama bafuni ila nilipokua bafuni nilikua nawaza nimfukuze huyo bitch maana wakati huo pombe zimeshakata na kichwa cha chini kimesharudisha authority kwa kichwa cha juu.
Sasa ile natoka bafuni nakuta bitch imesimama mlangoni ikiwa imeshavaa nguo ilikua inataka isepe(kama angeziona funguo maana yake angenipiga usiku huo) nikamuuliza vipi mbona wimawima? Akaniambia anataka kuondoka,nikamwambia rudisha pesa niliyokulipa then nikufungulie mlango, hakua na namna ilibidi arudishe pesa nikampatia 5k kwa huduma kidogo aliyonipatia+ serengeti lite 6 alizokunywa akasepa zake na mimi nikapata na pesa ya Supu ya Kuku asubuhi.😋😋😋

Nb: Ukiwa ba stranger lodge hakikisha umeficha funguo tena ikiwezekana imeze kabisa hakafu uinye asubuhi 😎😎
 
!!
IMG_20221029_145635.jpg
 
Jamaa yangu alichukua malaya dodoma, akampga iphoné x, laptop na pesa akamwachia jero ya daladala mezani.
Baada ya hapo akampga pcha akiwa kalala uchi na wakiwa wote kitandani akawa anazitumia kuamblackmail 😆😆😆
Baaadae sana akaja kugundua wana ukoo wa mbaliii ndo kumblackmail kukaisha
Aisee. Very interesting.
 
Kuna mmoja nilikutana nae, analalamika nimnyonye maziwa huko ndiko ugonjwa wake, wakati huo nishhasikia saana wale waduwanzi wanapaka madawa kwenye ziwa, nikaona liwalo na liwe, nikalamba ziwa, bila kumeza ulimi, nikampa ulimi, nikamla mate, nikalamba tena na jingine nikamla mate, nikawa nanyonya ziwa kidogo namla na mate, kama kaweka dawa tuzime woote. 😂 😂, kuzinduka kutategemea na resistance ya mtu, Tukapiga show fresh hakuna aliyezima.
Aisee. Wewe ni konki. Ila Malaya ukimlipa hella yeye ndio anawajibu wa kukupa maximum satisfaction. Hayo mambo ya ndio ugonjwa wake akatafute mpenzi wake. Utakuja kuombwa unyonye pussy mkuu kwa hao viumbe.
 
Mkuu mimi burudani ile siwezi kuchomeka tu, nikifanya hivyo hata kama nitakojoa ila nahisi kabisa nyege hazijakata, ndio maaa nilikuwa siwezi kununua hawa wa kuwainamisha nizamishe RUNGU, bora nipate twende ndani paogeke, PAFANYIKE.
Unajituma Mkuu. But kama ni wale wauzaji classic no sweat unapiga. Sex tamu kila mtu ajiachie.
 
Kuna vitu ambavyo KAMWE Malaya mzoefu halafu mjanja hawezi kuvifanya:-

1) Hatakutajia majina yake halisi

2) Hawezi kukubali muoge pamoja kabla ya kuanza shughuli yenu.....never!

3) Hapendi uwe karibu na uongozi wa lodge/Guest au hotel mnayolala au umfahamu yeyote

4) Hapendi muongee sana au umhoji kuhusu maisha yake
Njia pekee ya kumdhibiti malaya ni kumeza funguo tu hakuna namna nyingine
 
Nilichukuaga bitch mmoja Njombe maeneo ya Equator Pub nikazama nae Lodge inaitwa P-Square kwa makubaliano ya mpaka morning(wakati huo nimeshafanya Pre-paid kama nanunua Luku), alivyoingia bafuni tu mimi nikaficha funguo chini ya godoro.
Basi bana baada mshikemshike wa first half nikazama bafuni ila nilipokua bafuni nilikua nawaza nimfukuze huyo bitch maana wakati huo pombe zimeshakata na kichwa cha chini kimesharudisha authority kwa kichwa cha juu.
Sasa ile natoka bafuni nakuta bitch imesimama mlangoni ikiwa imeshavaa nguo ilikua inataka isepe(kama angeziona funguo maana yake angenipiga usiku huo) nikamuuliza vipi mbona wimawima? Akaniambia anataka kuondoka,nikamwambia rudisha pesa niliyokulipa then nikufungulie mlango, hakua na namna ilibidi arudishe pesa nikampatia 5k kwa huduma kidogo aliyonipatia+ serengeti lite 6 alizokunywa akasepa zake na mimi nikapata na pesa ya Supu ya Kuku asubuhi.[emoji39][emoji39][emoji39]

Nb: Ukiwa ba stranger lodge hakikisha umeficha funguo tena ikiwezekana imeze kabisa hakafu uinye asubuhi [emoji41][emoji41]
Hhhahaha umenipa somo kiongozi
 
Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke Tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku Tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndio kuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.

Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 nikachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukua Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.

Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mimi ni mwanaume nilijikaza kisabuni, wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijui heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga.
View attachment 2330016
Pole...[emoji28][emoji28][emoji28] Kwahyo ulishakoma au ukarudie japo mara moja ya mwisho!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mchizi wangu yeye mbinu yake kabla ya kuopoa kwanza anajenga urafiki na mwenye duka aliyekaribu na eneo hilo aka mangi.!! Kisha akiwa njiani kuelekea lodge anapotia kwa mangi ananunua cha kununua kisha anamkabidhi mboli aka pochi na mali zake nyingine kama simu ...anasepa na pesa ya kulipa malaya tu!
 
Kuna mwanangu mmoja aliopoa demu coco beach...wakakubaliana fresh kuwa wakitoka hapo wanaenda kulala. Wakapitia mazaga wakala fresh , wakatimba maeneo..demu akamuuliza jamaa anaishi wapi jamaa akamdanganya kila kitu mpk jina. Wakaingia maeneo kumbe jamaa pale alipolala ni karibu na mtaani kwao. Wakaingia ndani fresh jamaa alikuwa na pesa akaificha vizuri tu kwenye pochi akaacha manyoya tu. Wakapiga show, kila mtu akalala ila jamaa hakulala alikuwa ameegesha tu...demu baadae akaamka akaanza kumsachi jamaa..sachi sana suruali na shati akakuta wallet, kukagua anakuta buku 2 tu, kucheki simu anaona kiswaswadu. Demu akaona jamaa hana kitu bora alale tu. Akasinzia kweli.

Jamaa akanyanyuka yeye sasa, akamsachi demu akakuta hana pesa ila ana tambo kalo, samsung ya bei tu. Akachomoa line ..akaziacha hapo, akamuachia buku 2 ya nauli, akasepa!!
 
Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?

Ukiwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Siwezi kuwa na amani yoyote kulala na mtu nisiyemjua.
Hapo ni unapiga anasepa au natoa taarifa kwa walinzi + wahudumu.
 
Back
Top Bottom