Augustine Genius
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 1,216
- 1,486
Nilichukuaga bitch mmoja Njombe maeneo ya Equator Pub nikazama nae Lodge inaitwa P-Square kwa makubaliano ya mpaka morning(wakati huo nimeshafanya Pre-paid kama nanunua Luku), alivyoingia bafuni tu mimi nikaficha funguo chini ya godoro.Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?
Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Basi bana baada mshikemshike wa first half nikazama bafuni ila nilipokua bafuni nilikua nawaza nimfukuze huyo bitch maana wakati huo pombe zimeshakata na kichwa cha chini kimesharudisha authority kwa kichwa cha juu.
Sasa ile natoka bafuni nakuta bitch imesimama mlangoni ikiwa imeshavaa nguo ilikua inataka isepe(kama angeziona funguo maana yake angenipiga usiku huo) nikamuuliza vipi mbona wimawima? Akaniambia anataka kuondoka,nikamwambia rudisha pesa niliyokulipa then nikufungulie mlango, hakua na namna ilibidi arudishe pesa nikampatia 5k kwa huduma kidogo aliyonipatia+ serengeti lite 6 alizokunywa akasepa zake na mimi nikapata na pesa ya Supu ya Kuku asubuhi.😋😋😋
Nb: Ukiwa ba stranger lodge hakikisha umeficha funguo tena ikiwezekana imeze kabisa hakafu uinye asubuhi 😎😎