Kabwe atapotea Kama Lipumba na Cuf yake.Shida kubwa ya bwana kabwe( licha ya kuondoka Kwa mchongo) ni msalti wenzake wanaongoza mapambano ya kuhakikisha mambo yanawekwa sawa yeye na watu wake wanakwamisha..
Note: kwenye siasa hakuna urafiki zito na viongozi wake walijue hili..
Je, CHADEMA waliompa tuzo mwenyekiti wa CCM tuwaiteje?Shida kubwa ya bwana kabwe( licha ya kuondoka Kwa mchongo) ni msalti wenzake wanaongoza mapambano ya kuhakikisha mambo yanawekwa sawa yeye na watu wake wanakwamisha..
Note: kwenye siasa hakuna urafiki zito na viongozi wake walijue hili..
Chadema wameshasema watashiriki uchaguzi wowote bila kuwepo katiba mpya.,π₯΅π₯΅π₯΅MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
Upo sahihi mkuu,haki inapatikana kwa push back,sio kulalama humu kwenye soft landingCDM ongezeni NGUVU ya Maandamano,..jipangani vizuri hiyo April,hamasisheni wanachama wenu+ watanzania wapenda haki bila kusahau wanaharakati..Tumieni MEDIA zile zenye KUSIMAMIA haki...
CCM hawajawahi kuwa WAKWELI ..kutwa ni uongo uongo,ulaghai,ghiriba ..dawa ni JINO kwa JINO hadi kieleweke
ππππππππ€ππΌπ‘οΈIla nawe mtoa hoja umejiandaa vipi utakapoona haki yako inaibiwa?,utafanya nini utakapoona karatasi yako yako kura kabla ya kuhesabiwa inafungiwa chapati mitaani?,haki inaanzia na wewe mwenyewe
Tukubali kushindwaIla nawe mtoa hoja umejiandaa vipi utakapoona haki yako inaibiwa?,utafanya nini utakapoona karatasi yako yako kura kabla ya kuhesabiwa inafungiwa chapati mitaani?,haki inaanzia na wewe mwenyewe
Miaka yote ilifanya nini watangoja 2030!Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.
BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.
MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
walau mjitahidi pia kubadili sababu nyingine za kushindwa uchaguzi ndrugu zango, sasa zile zile miaka nenda miaka rudi πKama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.
BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.
MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
Bwashee watu tukiwa kazini huwa hatupendi utani...Erythrocyte chukua hii ifanyie kazi by Retired [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
Umemaliza kila kitu hapaKama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.
BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.
MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
Umeandika point snKama CCM wataamua kuiba na kulindwa na bunduki za polisi Chadema watafanya nini?
Kama kipo watachofanya ni kujitoa mhanga, wawe tayari kupata majeraha au hata kuumizwa zaidi kuipigania haki yao.
Walishindwa kuhimiza upatikanaji wa Katiba Mpya kwa wakati, wakadanganywa na maridhiano, walivyoshtuka maridhiano ni kupotezeana muda wakaona wadai Tume Huru, lakini nayo wamekuja kuona haiwezi kupatikana wakaamua kuingia kwenye uchaguzi kwa sheria mbovu zilizopo.
Wakaiamini watajilinda au watalindwa na wapiga kura wao, hii kamari waliyoamua kuicheza inataka moyo, inawalazimu wawe tayari kwa lolote kwasababu kati yetu hayupo asiyezijua tabia za CCM kwenye uchaguzi, hawawezi kubadilika kisa Samia yupo madarakani.