Yaliyotokea kwa ACT Wazalendo kwenye chaguzi Ujiji kwa Polisi kuilinda CCM kuiba kura, 2024/25 yanawasubiri CHADEMA, mtafanya nini yakitokea?

Yaliyotokea kwa ACT Wazalendo kwenye chaguzi Ujiji kwa Polisi kuilinda CCM kuiba kura, 2024/25 yanawasubiri CHADEMA, mtafanya nini yakitokea?

Very well-written thinking and analysis.

Nawashauri wawatayarishe wafuasi wao KUFA MSALABANI. Wajitayarishe kwa maumivu makali ambayo mwisho wake unaweza kuwa kifo kulinda kura zao

Kama kujitayarisha kufa,
1. Target No. 1 ya CCM kuua itakuwa Mbowe!
2. Target No. 2 itakuwa Lisu
3. Target No. 3 Wenyeviti wa majimbo..Lema, msigwa and the like.
4. Target No. 4 itakwa wenyeviti wa mikoa ........and the isy goes down to the root!

FOR SURE CCM WAKO TAYARI KWA LOLOTE AS LONG AS WASHINDE UCHAGUZI

JE WAKO/TUKO TAYARI KUFA? WAFUASI WAO TUKO TAYARI KUFA? /WANANCHI WAKO TAYARI KUFA?
Erythrocyte
Chadema inajua kila uchafu wanaoupanga na haitokubali , huo unaweza kuwa ndio mwisho wa Nchi hii
 
Chadema inajua kila uchafu wanaoupanga na haitokubali , huo unaweza kuwa ndio mwisho wa Nchi hii
Tujipange na propaganda kwa dunia ianze sasa hivi kuwa kama CCM itaiba kura, dunia ijitayarishe kukutana na ya Sudan, Palestina vs Israel and the like. Dunia ijue kuwa tanzania si salama kama CCM wataiba kura wa wananchi.
 
Mimi naomba nisamehewe kwa kuwabeza vikundi vya kwenye baadhi ya nchi vilivyoamua kuingia msituni kwa kukosekana kwa haki katika nchi zao. Niliamini kimakosa ile propaganda ya kuwa vikundi hivyo vina uchu wa madaraka, na propaganda hizo zilienezwa na tawala kama hizi za ccm. Sasa nimeelewa kwanini waliamua kuingia msituni.
Jina tu unatumia Id feki hapa

Jitokeze koromeo liwe mapovu

Wazee wa keyboard
 
Chadema haijawahi kukata wala kukatishwa Tamaa , Muulize Jiwe
Wakati wa JIWE Boss zako si walikimbikilia ughaibuni kujificha

Yaan mlitepeta sana

Na nakuambia tena tapeli unaemwita mfanyabiashara wa kimataifa anefosi kiki za kupiga picha na balozi wa Marekani dawa yenu iko jikoni 2025
 
Jiwe yuko wapi leo , na ndivyo itakavyokuwa kwa wengine na mamluki wao
 
Jiwe yuko wapi leo , na ndivyo itakavyokuwa kwa wengine na mamluki wao
Huko JIWE alipo ndipo pia nawe utaelekea

Alafu nyie mnaamini amfi kima nyie🤣🤣

Kifo ni Sheria ndg na mtu kufa ndio pumziko lake la kudumu

Vp maharage mmepata wateja nyie matapeli?
 
Back
Top Bottom