magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Akikujibu niblock.Hela ili zitoke ni lazima thamani ya Klabu ijulikane. Klabu yetu ya Simba ina thamani ya shilingi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu niblock.Hela ili zitoke ni lazima thamani ya Klabu ijulikane. Klabu yetu ya Simba ina thamani ya shilingi ngapi?
Kujua thamani ya club ndio ushinikize kupewa hati?
Kwa nn usiombe hesabu za club kwa maana ya balance sheets za nyuma ili uone zimekaaje kuliko kushinikiza upewe hati na wewe hujatoa hata hiyo fedha uliyoahidi kuiwekeza kama hisa??
hati za Simba zinatakiwa ziwepo ofisini. Sio kwa mtu binafsi.
kwanza simba ina Mali gani mpaka uje useme moo anazitaka?
Hilo neno beberu jamani duuuu,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]MZEE KILOMONI PAMBANA NAO HAO HAKUNA KUACHIA BEBERU MALI ZENU MNA UCHUNGU NAZO
Yeye alivyozitaka?
Kwa nn asingeshauri ziwekwe benki??
Huyo ni mpigaji tu hakuna muhindi mwenye nia nzuri hata siku moja
MZEE KILOMONI PAMBANA NAO HAO HAKUNA KUACHIA BEBERU MALI ZENU MNA UCHUNGU NAZO
Simba kuna Mali gani za kugombaniwa na moo?
Binafsi mm nipo yanga ila simba mkifail kwenye ili nitaumia sana maana mlikuwa mmeanza kutuonyesha njia ya kupita japo kuwa mfumo wenu wa uwekezaji sijawai kuuona sehemu yoyote ile. But kama Mo ana hisa 49% kwa ghalama ya bilioni 20 hizo 51% za wanasimba ambazo ni sawa na bilioni 24 ziko wapi? Wekeni benki nyie kwanza hzo Bilioni 24 alafu Mo ataweka zake pia. Alafu hivi ninani alifanya valuation ya timu ya simba? Hv simba na yanga ambao wameshika roho ya nchi wanaweza kuwa na thamani ya biliini 40? Timu inafungwa washabiki wanajinyonga iwe na thamani ya bilioni 40? Emu kuweni serious kwenye mambo serious bwana.
Kama hakuna mali anang'ang'ania hati za majengo za nn kama hana maslahi nazo,si azikaushie tu afanye aliyokuwa anayafanya?
Hv nikuulize swali let's say club ya simba imeuzwa kwa mwekezaji flani kwa kiasi cha bilioni 60 ile pesa itaenda wapi na kina nani wataigawana?Kwani yeye hizo zake ziko wapi??
unafanyaje mipango ya maendeleo wakati haujui klabu ina kitu gani?
Mzee kilomoni Ana cheo gani pale simba?
moo hajafikia njaa ya kutaka kugombea Yale mabanda pale msimbazi.
Ambayo thamani yake hata billion 5 haifiki.
Tukitaka kuuza mtu HANUNUI.
Jitokeze wewe sasa ununue hzo hisa 51% za wanachama ili uweke bilioni 24 mezani tuone kama utaoji finacila statements za club pamoja na hati.Kufanya Mipango ya maendeleo ndio ushinikize kupewa hati,hesabu za club zilizokaguliwa zina kazi gani???
Huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu.
Kama unaona yale majengo ni mabanda na hayana thamani anataka hati zake akabidhiwe yeye kwa nini??
Sasa yy kiburi Cha kusema apewe hati ni kipi? Kwa sababu anatoa hizo fedha ambazo anaandika mwisho aje kusema zimefika 20Billion?Kama unalijua Hilo kwanini mna lazimisha MOO ATOE BILION 20.?
Kufanya Mipango ya maendeleo ndio ushinikize kupewa hati,hesabu za club zilizokaguliwa zina kazi gani???
Huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu.
Kama unaona yale majengo ni mabanda na hayana thamani anataka hati zake akabidhiwe yeye kwa nini??
Sasa yy kiburi Cha kusema apewe hati ni kipi? Kwa sababu anatoa hizo fedha ambazo anaandika mwisho aje kusema zimefika 20Billion?
Neno hisa linatajwa tajwa tu.
Aliahidi yy mwenyewe 20B. Akaahidi uwanja ambao haujakamilika. Uwanja wa Mazoezi ni kitu kidogo Sana. Boko Veterani wanao. Ni swala la vipaumbele tu.
Mo Ana hela lakini ni mjanja mjanja.
Hizo hisa ziwekwe sokoni. Muwekezaji apatikane. Inawezekana akapatikana hata kwa 50B. Simba yanga Zina followers ambao ni mtaji mkubwa.

Jitokeze wewe sasa ununue hzo hisa 51% za wanachama ili uweke bilioni 24 mezani tuone kama utaoji finacila statements za club pamoja na hati.