Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimedondoka Tarehe 30 mkuu! Lakini nafuatilia muda wote sioni maelezo yoyote ya kitaalamu yakitolewa na mamlaka za huko!
Vitakuwa vimechomoka kwenye satelite za Elon Musk hukoHabari zenu wakuu.
Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya.
Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi.
Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
Mungu huepusha sana mabalaa. Fikiria ngoma ingelenga nyumba ya mtu, kuna kiumbe angebaki kweli!Habari zenu wakuu.
Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya.
Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi.
Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
View attachment 3190012
Watu wanaleta mzaha kwa sababu hakijaleta madhara.Jambo nilonalo uhakika ,kifaa kimedondoka kutoka kwenye vyombo vya Anga lkn sio ndege Kwa aina zake 🤣
Ni yale mavyombo ya Aliens
Kutoka Ardhini kimedondoka toka ArdhiniKimedondoka toka wapi kwny space au ?
Hivi mamlaka za anga huwa haziwezi kutambua vitu kama hivi kabla ya kuanguka na kutoa tahadhari?Mungu huepusha sana mabalaa. Fikiria ngoma ingelenga nyumba ya mtu, kuna kiumbe angebaki kweli!
Router ya tank au excavator hiyo mzeeJambo nilonalo uhakika ,kifaa kimedondoka kutoka kwenye vyombo vya Anga lkn sio ndege Kwa aina zake 🤣
Ni yale mavyombo ya Aliens