Yamekosekana maelezo ya kitaalamu na uhakika kuhusu hiki Chuma ambacho kimedondoka huko Kenya?

Hivi mamlaka za anga huwa haziwezi kutambua vitu kama hivi kabla ya kuanguka na kutoa tahadhari?
Hiki kimedondoka bila kutambuliwa, je kama kuna vingine vikubwa vinakuja?
Naona KTN wanasema kuwa uchunguzi wa awali umeonesha ni kipande cha mabaki ya roketi za anga za juu ambayo hudondoshwa yakilenga kudondokea baharini.

Sasa badala ya kudondokea baharini, kikadondokea nchi kavu bila kuleta madhara.

Bado wanafuatilia kuona wamiliki wa kifaa hicho ni nani ama taifa gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…