Yamekosekana maelezo ya kitaalamu na uhakika kuhusu hiki Chuma ambacho kimedondoka huko Kenya?

Makueni iko umbali wa zaidi ya kilomita 350 kutoka kwenye ufukwe wa bahari, sasa hao walio dondosha kama wali mistarget kiasi hicho kazi ipo.
 
Makueni iko umbali wa zaidi ya kilomita 350 kutoka kwenye ufukwe wa bahari, sasa hao walio dondosha kama wali mistarget kiasi hicho kazi ipo.
Wamesema kikiachia kwenye anga za juu, huteketea kwa kuungua kutokana na mgandamizo wa hewa ama huwa kimesetiwa kuangukia baharini.

Sasa wanachoshangaa kama kilishindwa kuteketea angani kimepenyaje kuja kuangukia nchi kavu na isiwe baharini?

Bado wanafuatilia.
 
Mi Mim mgumu kuelewa hapo chuma inawezaje teketea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…