Yamekosekana maelezo ya kitaalamu na uhakika kuhusu hiki Chuma ambacho kimedondoka huko Kenya?

Yamekosekana maelezo ya kitaalamu na uhakika kuhusu hiki Chuma ambacho kimedondoka huko Kenya?

Huenda ni mabaki ya chombo cha anga kilichosambaratika,mara nyingi wanasema mabaki yanaangukia baharini.Wa kuwauliza ni hao huko wanaohangaika na anga za mbali.
 
Huenda ni mabaki ya chombo cha anga kilichosambaratika,mara nyingi wanasema mabaki yanaangukia baharini.Wa kuwauliza ni hao huko wanaohangaika na anga za mbali.
Wataalamu wenyewe huwa wanasema kwamba huwa vinateketea huko huko angani, wanaona ajabu hiki imekuwaje kikafika hapa duniani
 
kama kuna mafundi pikipiki, fundi magari, fundi meli nk hakuna mafundi wanaojua ni kifaa cha chombo gani wakenya unafeli wapi
 
Nilichoshindwa kuelewa hapo ni hiyo square pipe ambayo chuma kimeegemea je ni sehemu ya hicho chuma au chuma kilianguka kikawa kime'hang' wakaona wakiwekee supporter ya hiyo square pipe
 
Huyo jamaa Happ kaongea kwa hasira Ni kama vile anataka Ruto awajibike. Hawa Wakenya wengi Ni wagonjwa aisee..
Chuki na hasira za kipumbavu
Ruto must go! 😂😂😂

Ila Ruto angefanikiwa de-dollarization of African economies ningemsamehe makosa yake mengine yote.

Hii ndiyo vita ya kiuchumi aliyotakiwa kupigana Magufuli badala ya kushikana mashati kwenye makenika sijui madudu gani huko, lakini kwa akili yake ndogo sijui hata kama aliielewa.
 
Hivi mamlaka za anga huwa haziwezi kutambua vitu kama hivi kabla ya kuanguka na kutoa tahadhari?
Hiki kimedondoka bila kutambuliwa, je kama kuna vingine vikubwa vinakuja?
Unawaza kweli. Na hiyo inamaanisha hata spacecrafts maadui hatuwezi "kuzi-track".
 
Sio mbaya kilo ya chuma ,900
Mtaani kwangu kilo ya chuma ni 700, kwahiyo 700x500 kuna kama laki 3 hivi.
Hela nzuri kabisa kimboka pale unanunua malaya wote unakesha nao hata siku mbili 🤣
 
Wamesema ni space research ya India imeanguka kutoka huko kwenye orbit
 
Back
Top Bottom