Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataalamu wenyewe huwa wanasema kwamba huwa vinateketea huko huko angani, wanaona ajabu hiki imekuwaje kikafika hapa dunianiHuenda ni mabaki ya chombo cha anga kilichosambaratika,mara nyingi wanasema mabaki yanaangukia baharini.Wa kuwauliza ni hao huko wanaohangaika na anga za mbali.
Wanasema inaweza kuwa mabaki ya spacecraft au satellite.
View: https://youtu.be/FlS8n7A_qI8?si=G1g6xq5HoRWiLzsJ
Ruto must go! 😂😂😂Huyo jamaa Happ kaongea kwa hasira Ni kama vile anataka Ruto awajibike. Hawa Wakenya wengi Ni wagonjwa aisee..
Chuki na hasira za kipumbavu
Unawaza kweli. Na hiyo inamaanisha hata spacecrafts maadui hatuwezi "kuzi-track".Hivi mamlaka za anga huwa haziwezi kutambua vitu kama hivi kabla ya kuanguka na kutoa tahadhari?
Hiki kimedondoka bila kutambuliwa, je kama kuna vingine vikubwa vinakuja?
Nashauri Serikali itume baadhi ya wanasayansi wetu wakasaidiane na Wakenya kulitafiti hilo .Habari zenu wakuu.
Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya.
Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi.
Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
View attachment 3190012
View attachment 3190420
Chuma gani mbona kama kimeegeshewa na Mrunda mmoja tu.Habari zenu wakuu.
Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya.
Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi.
Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
View attachment 3190012
View attachment 3190420
UnataKwanza unajua kama chuma kinaweza kuyeyuka?
Fe+o2--Fe2O3Friction kati ya chuma na hewa.
Chuma kikiingia tu kwenye atmosphere kinakutana na hewa ambayo ni matter, lazima visuguane. Na hapo kipo kwenye spidi kubwa msuguano unakuwa mkali zaidi.
Wakenya wajanja......Wanataka kupiga hela za Utalii kama ule wa MboziHabari zenu wakuu.
Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya.
Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi.
Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
View attachment 3190012
View attachment 3190420
JamiiCheckHabari zenu wakuu.
Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya.
Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi.
Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
View attachment 3190012
View attachment 3190420
Kimeangukia pazurikumbe kenya wana space agency inaitwa KSA? ndo najua leo
View attachment 3190043