Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

dracular

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
769
Reaction score
1,069
Habarini za majukumu ndugu zangu.

Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana na sijui la kufanya ni nini.

Nina mchumba wangu ambae tunapendana sana ila kutokana na nature ya majukumu yangu hatukuweza kuonana nae kwa almost miezi 9, so katika harakati zangu za kupunguza genye nikapata demu ambae wote kwa pamoja tulikubaliana kupunguza genye na wala hatukuwa na malengo yoyote kati yetu.

Wiki mbili zilizopita tukapiga game yetu ya mwisho maana mchumba wangu anatarajia kuja huku siku ya kesho kutwa yaani Jumanne.

Jamani huyu bi dada kapata mimba so mchumba wangu nitamwambia nini?? Huyu bi dada ni single mother wa watoto wawili na tulichukua tahadhari zote za kuepuka mimba lakini bado kapata tu. Sikumwaga ndani yeye anahisi huenda sikujifuta vizuri wakati napiga round ya pili.

Ndugu zangu naombeni ushauri mchumba wangu anakuja keshokutwa na tupo kwenye mchakatato wa kuoana so nifanyaje kui solve hii issue?

Nisaidieni kwa ushauri angalau πŸ™
 
Hapo unataka ushauriwe nn mkuu?
 
Huyu bi dada ni single mother wa watoto wawili na tulichukua tahadhari zote za kuepuka mimba lakini bado kapata tu[emoji15]..
Sikumwaga ndani yeye anahisi huenda sikujifuta vizuri wakati napiga round ya pili..[emoji23]
Unauziwa mbuzi kwenye kirobaaa... Gutukaaa...!!!
 
Mimba sio yako hiyo,
Au hana mimba anakuzingua
Unapigaje single mother kavukavu?
Unawezaje kumwaga nje?

Mkojo wa mjamzito: Biashara nyingine ya siri isiyojulikana na wengi
 
alafu hata ukiangalia mzunguko wake wa hedhi ni siku ya 9 ambapo uwezekano wa mimba ni mdogo sana
 
Kaa mbali tapeli huyo, single mother wanatumia njiti, sindano za kuzuia mimba, wengi wao wadangaji ili kupata pesa za kulea watoto wao
 
Unapomaliza gemu huwa unaenda kukojoa (mkojo original) ili kusafisha njia ya mkojo? Kama ulikuwa hufanyi hivi kuna uwezekano hiyo mimba ni yako.
 
tulichukua tahadhari zote za kuepuka mimba lakini bado kapata tu😳..
Sikumwaga ndani yeye anahisi huenda sikujifuta vizuri wakati napiga round ya pili..
Ushapigwa wewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… umefika wakati wa kulea bao la mwanamume mwenzako
 
Huwa ninauwezo wa kumwaga nje na hata siku hiyo nilifanya hivo.. anahisi kapata mimba wakati napiga round ya pili huenda sikujifuta vizuri

Hata sisi tuna uwezo huo na hayo tunafanya na wake zetu, sio single Mothers!

Hana mimba huyo, acha mimba ukicheza naye huyo utalogwa sasa na hiyo ndoa itaishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…