Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
01: Upokee na kuukubali uhalisia. Uhalisia ni uhalisia haijalishi tunaupenda ama hatuupendi, tumejiandaa kuupokea ama hatujajiandaa.
02: Usifanye uamuzi wa kuua kiumbe kisichokuwa na hatia. Uuaji ni uuaji tu haijalishi mhusika hajazaliwa ama amezaliwa. Usikubali kuwa muuaji.
03: Kamwe usioe kwa sababu ya ujauzito. Oa ukiwa tayari na kama unampenda mhusika na una malengo naye.
04: Mtoto siyo dhambi (dhambi ni uzinzi) wala hawezi kuwa kipingamizi cha ndoa yenu (wewe na mchumba wako).
05: Ongea na mama kijacho wako mtarajiwa mkubaliane namna nzuri ya kulea na kutunza siri mpaka nyote mtakapokuwa tayari kuiweka wazi.
06: Ongea na mchumba wako kabla haujamuoa, lakini hakikisha unafanya timing nzuri. Usimweleze sasa ukiwa bado ume-panic. Take your time. Usiwe na haraka.
07: Muhimu; jifunze kuwajibikia uamuzi na matendo unayoyafanya. Uliamua kufanya ngono mwenyewe na hiyo ni moja ya possible outcomes za sex.
08: Kuwa mwanaume, kubali kuwajibikia matendo na uamuzi wako hata kama athari za uamuzi huo hauzipendi na siyo rafiki kwako. Man up.
Kila la kheri mkuu.