Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

Unapomaliza gemu huwa unaenda kukojoa (mkojo original) ili kusafisha njia ya mkojo? Kama ulikuwa hufanyi hivi kuna uwezekano hiyo mimba ni yako.
hapana huwa sifanyi hivo.. Na siku hiyo nilivomaliza tu round ya kwanza nikajifuta na kuendelea na game muda mfupi sana
 
Fuatilia kwa karibu kama ni kweli, Je mliokutana mpaka unapata taarifa ya Ujauzito vinaingiliana?

Kutokanana maelezo yako, kuna uwezekano kuwa alipata mimba hata kama ulikuwa ukimwaga nje, kinachotunga mimba ni moja tu kati ya mabilioni yake.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mwambie aitoe
Habarini za majukumu ndugu zangu..
Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana na sijui la kufanya ni nini..
Nina mchumba wangu ambae tunapendana sana ila kutokana na nature ya majukumu yangu hatukuweza kuonana nae kwa almost miezi 9, so katika harakati zangu za kupunguza genye nikapata demu ambae wote kwa pamoja tulikubaliana kupunguza genye na wala hatukua na malengo yoyote kati yetu..
Wiki mbili zilizopita tukapiga game yetu ya mwisho.. Maana mchumba wangu anatarajia kuja huku siku ya kesho kutwa yaani J4
Jamani huyu bi dada kapata mimba so mchumba wangu nitamwambia nini??
Huyu bi dada ni single mother wa watoto wawili na tulichukua tahadhari zote za kuepuka mimba lakini bado kapata tu😳..
Sikumwaga ndani yeye anahisi huenda sikujifuta vizuri wakati napiga round ya pili..
Ndugu zangu naombeni ushauri mchumba wangu anakuja kesho kutwa na tupo kwenye mchakatato wa kuoana so nifanyaje kui solve hii issue?
Nisaidieni kwa ushauri angalau 🙏
 
Kaa mbali tapeli huyo, single mother wanatumia njiti, sindano za kuzuia mimba, wengi wao wadangaji ili kupata pesa za kulea watoto wao
Mkuu umeongea point kubwa sana nilitaka kukoment hivyo hivyo ila umeniwahi ngoja nisikoment chochote
 
Habarini za majukumu ndugu zangu..
Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana na sijui la kufanya ni nini..
Nina mchumba wangu ambae tunapendana sana ila kutokana na nature ya majukumu yangu hatukuweza kuonana nae kwa almost miezi 9, so katika harakati zangu za kupunguza genye nikapata demu ambae wote kwa pamoja tulikubaliana kupunguza genye na wala hatukua na malengo yoyote kati yetu..
Wiki mbili zilizopita tukapiga game yetu ya mwisho.. Maana mchumba wangu anatarajia kuja huku siku ya kesho kutwa yaani J4
Jamani huyu bi dada kapata mimba so mchumba wangu nitamwambia nini??
Huyu bi dada ni single mother wa watoto wawili na tulichukua tahadhari zote za kuepuka mimba lakini bado kapata tu[emoji15]..
Sikumwaga ndani yeye anahisi huenda sikujifuta vizuri wakati napiga round ya pili..
Ndugu zangu naombeni ushauri mchumba wangu anakuja kesho kutwa na tupo kwenye mchakatato wa kuoana so nifanyaje kui solve hii issue?
Nisaidieni kwa ushauri angalau [emoji120]
Na mchumba wako akija week ijayo,nae mchape na Mimba yake! hakuna kuoneana wivu wa Mimba!!
 
Huyo single mother mwambie awe anatumia akili siyo ****
 
Yaani nafikiria sijui nimwambie tu ukweli ili liwalo na liwe tu

Umwambie kwani atajuaje? Hebu tulia kwanza,…mbona kama akili ina wenge umetimia kweli kuongoza binti wa mtu kama mke?

Sheria namba moja ya mwanaume kwenye kesi kama hizo huwa hutakiwi kukubali kesi hata kama likibumbuluka.

Huyo single mother anakumudu sana, ila remember huna malengo nae, hata kama itagundulika kataa mruke hatua 100 , mmoja lazima aumie kati yao sasa angalia maslahi yamelalia wapi kwako.
 
Hata sisi tuna uwezo huo na hayo tunafanya na wake zetu, sio single Mothers!

Hana mimba huyo, acha mimba ukicheza naye huyo utalogwa sasa na hiyo ndoa itaishia hapo.
Ni kweli aachane naye huyo single mother wengi wao ni wabaya sana tena ukumte single Mather aliyeteketezwa na baba mtoto hapewi huduma ya mtoto wengi wao wanatumia madawa ya kienyeji kukupumbaza ili uwape pesa za kulea mwanae bila wewe kujifahamu
 
Huwa ninauwezo wa kumwaga nje na hata siku hiyo nilifanya hivo.. anahisi kapata mimba wakati napiga round ya pili huenda sikujifuta vizuri
Withdrawal method is 78% effective.

Kwa maneno mengine, kwa kila wanaume 100 wanaotumia njia ya kumwaga nje, 22 husababisha ujauzito.

Ongea vizuri na huyo single mama (mzazi mwenzio mtarajiwa) mlee kiumbe chenu kijacho.

NB: Msiue kiumbe kisichokuwa na hatia.
 
alafu hata ukiangalia mzunguko wake wa hedhi ni siku ya 9 ambapo uwezekano wa mimba ni mdogo sana
Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28; yai hutolewa siku ya 14 (au ya 13 likiwahi au 15 likichelewa).

Sperms huweza kuishi kwa mpaka siku 5. Kama ulimmwagia siku ya 9; maana yake mpaka siku ya 14 yai au mayai yalipotolewa na ovaries sperms zako zilikuwepo, zilikuwa hai na huenda zilirutubisha yai na mimba kutungwa.

Kama kweli ni mjamzito; uwezekano ni mkubwa huo ujauzito ni wako. Lea mwanao. Kumpa mimba siyo lazima umuoe, ila ni lazima uhusike katika malezi ya mtoto.

Note: Msiue mtoto ambaye hana hatia.
 
Back
Top Bottom