Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

01: Upokee na kuukubali uhalisia. Uhalisia ni uhalisia haijalishi tunaupenda ama hatuupendi, tumejiandaa kuupokea ama hatujajiandaa.

02: Usifanye uamuzi wa kuua kiumbe kisichokuwa na hatia. Uuaji ni uuaji tu haijalishi mhusika hajazaliwa ama amezaliwa. Usikubali kuwa muuaji.

03: Kamwe usioe kwa sababu ya ujauzito. Oa ukiwa tayari na kama unampenda mhusika na una malengo naye.

04: Mtoto siyo dhambi (dhambi ni uzinzi) wala hawezi kuwa kipingamizi cha ndoa yenu (wewe na mchumba wako).

05: Ongea na mama kijacho wako mtarajiwa mkubaliane namna nzuri ya kulea na kutunza siri mpaka nyote mtakapokuwa tayari kuiweka wazi.

06: Ongea na mchumba wako kabla haujamuoa, lakini hakikisha unafanya timing nzuri. Usimweleze sasa ukiwa bado ume-panic. Take your time. Usiwe na haraka.

07: Muhimu; jifunze kuwajibikia uamuzi na matendo unayoyafanya. Uliamua kufanya ngono mwenyewe na hiyo ni moja ya possible outcomes za sex.

08: Kuwa mwanaume, kubali kuwajibikia matendo na uamuzi wako hata kama athari za uamuzi huo hauzipendi na siyo rafiki kwako. Man up.

Kila la kheri mkuu.
 
Kwann umwage njee ww ni wale ambao ni watoro kwenye vikao vyetu tulikubaliana ukipewa mbususu mwaga ndani
 
Kuna mmoja aliwahi kunipiga hizo sound za ana mimba yangu, nikamwambia haiwezekani maana nimewahi kupimwa sina uwezo wa kumpa mwanamke mimba, kuanzia hapo kaufyata.
Nia yangu ilikua kumjaribu, maana kama kweli angekua na mimba yangu ningemsaidia kuilea, siwezi kutelekeza mwanangu.
 
Nakushauri muoe huyo singo maza utaishi kwa amani zadi katika ndoa hiyo
 
Single maza kakutega 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ahsante sana kwa ushauri wako ila inanipa wakati mgumu sana.. Mi sipendi watoto wangu wawe na mama tofauti tofauti lakini hii imekuja kama ajali tu.. Huyu single mother sina mpango nae kabisa.. tena ni mkubwa hata ki umri zaidi yangu
 
Mchele uongezeke bei tu.
Naona watu mkila mkashiba mnaleta upupu humu bora mchele uwe juu usinunulike mkiwa na njaa mtaa ha porojo.
 
Focus na Mchumba wako!! Huyo anayesema ana mimba yako mwambie Hongera sana! Endelea na mipango yako!! Yaani unavurugwa na issue ndogo hivi? Unadanganywa kizembe Sana.
 
Umri wako please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…