Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

Mchele uongezeke bei tu.
Naona watu mkila mkashiba mnaleta upupu humu bora mchele uwe juu usinunulike mkiwa na njaa mtaa ha porojo.
porojo kivip? kwani umelazimishwa kutoa ushauri
 
Umenikumbusha mbali sanaaa, Kuna binti mmoja tulikutana chuo wakati huo, tukapendana na kuanza mahusiano, nikamwambia kabisa Mimi nina mtoto tayari, hivyo sihitaji mtoto, hakikisha HATUZAI, nilisisitiza sana hilo kwa sababu najua mwenye kuamua kuzaa au kutokuzaa ni mwanamke, asipotaka kuzaa hata ufanye nini hazai ng'o!

Basi tukawa tunaendelea kula zetu tunda la asili kwa kama miezi 7 hivi, akaniuliza "sasa ikitokea nimeshika mimba itakuwaje?" Nikamwambia nitakuacha! Alijaa simanzi kweli kweli siku hiyo...

Heeeh baada ya kama miezi 3 mbele, akaja akiwa na masikitiko, anatia huruma mno akaniambia "TheMnyonge hatua ya uhai wangu inafikia kikomo, kwani nimejikuta nimeshika mimba, na sikutarajia, siwezi kuwa singo maza, kwetu Kigoma wataniua, hivyo kwa kuwa nimefanya jambo usilolitaka na mimi siwezi kutoa mimba, bora nife na mimba yangu, nitajiua tu"

Yaani namna alivyokuwa anaongea kwa unyenyekevu n'a upole, nilijukuta automatically namkumbatia na kumwambia "usijali sitakuacha" alilia kwa furaha sijapata kuona, nililazimika kuji-organize kwenda kujitambulisha kwao, n'a mpaka sasa tunaishi fresh kabisa.

Nilijifunza kwamba nguvu ya mwanamke ipo kwenye udhaifu/unyonge wake, mwanamke akijinyenyekeza kwa mwanaume anapata hata ambavyo jamaa hakufikiria kuvitoa,lakini mwanamke ukitumia kelele misuli, mipayuko na fujo fujo hizi hakika utapoteza tu.

Siku aliyokuwa ananipa taarifa angeanza "hii mimba yako lazima ulee, kwani ulivyokuwa unanitomba ulitegemea nini? nilikutuma ukojolee ndaniiii? Na kwenu lazima niwatafute niwaambie" nina hakika saa hizi angeshakuwa singo maza yaani...lakini style aliyokuja nayo ilinimaliza kabisaaa nikajaa king!



Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Umebambikiwa
 
Mbona una chachawa kwa mambo madogo? Umeandika mlikutana wiki 2 zilizo pita...sasa una uhakika gani kuwa ni mja mzito? Subiri angalau mwezi ufike.

Hata kama ana mamba hakuna tatizo sana.
1. Wewe endelea na mchumba wako kama vile hakuna kitu kilichotokea.
2. Mchepuko akijufungua kapimeni DNA. Kama mtoto ni wako utalea kwa siri kama si wako...msala umeisha.
3. Kamwe usije ukamwambia mchumba wako chochote juu ya hili swala, hata kama mtoto akiwa wako, mlee akiwa huko huko kwa mama yake. Atakuja akiwa mtu mzima.
 
Aombe huyo mwenye mtoto awe mwelewa sana, lakini kinyume chake haiwezi kuwa siri kamwe!

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Aombe huyo mwenye mtoto awe mwelewa sana, lakini kinyume chake haiwezi kuwa siri kamwe!

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Inategemea na wewe mwenyewe unavyo cheza karata zako tu. Mwanaume lazima uwe na strateji, siyo kuchanganyikiwa na vitu vidogo vidogo kama hivi.
 
Bro.. huyu kumuoa ni ngumu sana kwanza kanizidi umri lakini pia huyo mtoto wake ni mkubwa anaweza hata kuolewa na mtu wa lika langu
 
Nikifanya siri madhara yake yatakuwa makubwa sana.. Hakunaga siri duniani
 
Nikifanya siri madhara yake yatakuwa makubwa sana.. Hakunaga siri duniani
Hahahaaaa uliza wazee kijana. Hata kuoa hujaoa, je ungekuwa umepata mtoto ndani ya ndoa ingekuwaje? Yaani watu wanapata watoto wa nje wakiwa kwenye ndoa na wanakuja kujulikana siku ya msiba..hahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…