Yamenikuta: Nilifunga ndoa ya kanisani kimya kimya bila mke wangu kujua

Kamwacha kwa dharau mwanamke wake walietoka nae kimaisha ,akaoa chuma ulete, x mama yake kajipata mwamba kafilisika now anataka warudiane ,kumbe x ana kidume kingine ,mwamba anaweweseka sasa.
Mwache awewe seke tu ukikubali kuendeshwa na ndugu lazima uangukie pua
 
 
Ngoja uyeyuke kama theluji ya mlima Kilimanjaro, you will know.
 
Kabisa nzuri mno vijana wanaoa wife material wakiwa hawana kitu,wakishajipata wanatafuta wanawake wa tamaa zao mwisho wa siku ni kilio.
hatakama ni tamaa basi iwe kwa kiasi hata asijue
Sasa wengine ndio hivyo dharau na kumuona takataka hafai
Hii ilishawahi kutokea mtu wakaribu yangu watoto hawa mtaki baba kila siku kuangua vilio kumlilia mwanamke warudiane
Kuna wanawake wanavismati ukiachana nae kila kitu lazima kiende mrama
 
Na hili linawafanya wadad wengi mno kuogopa kuanza na mtu sifuri🤔
 
Story umeibeba kutoka page ya facebook ya #Iddi_makengo
 
Nilipata huzuni ila nilivo gundua na x wako kajipata tayr Nmefurahi2
 
Na hili linawafanya wadad wengi mno kuogopa kuanza na mtu sifuri🤔
hata akitimuliwa hana cha kupoteza eti??🤣🤣🤣
Ila kumkuta mtu tayari anavyake uanze kuvitumia mmmmm
Nahisi kunakuwa na manyanyaso fulani hivi hasa ndugu
 
sawa tunatakiwa tukusikitikie lakini,

Ingewezekana pia huyo mke kuwa mwiba kwako, hata kama ndugu wasingekugombanisha nae, binadamu hawatabiriki

kwakuwa wewe ndo umekuwa wa kwanza kumkosea mwenzio wewe ndo unabeba lawama

hadithi ina maudhui mazuri lakini kimsingi haitusaidii kwa chochote, mapenzi hayajawahi kutabirika

labda tukupe pole
 
Ni kifo kitawatenganisha, yani ulimtumia kama karai la zege afu unataka arudi kwako?
 
moderators wanafuta mabandiko yanayoikosoa serikali tu .....


mleta mada unafaa kutekwa huna faida katika jamii
 
Mabandiko ya iddi makengo huko facebook😂😂
Yule bwana anawaokota kinadada huko balaa, na bandiko lake kuna namna ya uandishi unajua huyu ni yeye huyu.

Vistory vyake huwa napenda kuvisoma.
 
Hii story ni bora ungempa Lamata Leah kuliko kuiandika hapa Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…