Yamenikuta: Nilifunga ndoa ya kanisani kimya kimya bila mke wangu kujua

H
Hayo ndio matunda ya mti ulioupanda, kwavile ulipanda ukiwa unajua au hujui upandacho, basi unatakiwa ule hayo matunda kwa kujua au kut LPokujua vilevile..

Kila jambo mtu analolifanya either kwakujua au kutokujua lina matokeo yake.
 
Mkuu mjinga ni wewe wala sio ndugu zako sababu mwenye maamuzi ya mwisho kwenye ndoa yako ni wewe mwenyewe
 
Story yako nzuri japo naamini si kweli ila inabeba uhalisia wa maisha yetu
Ina tufunza mengi
Mshahara wa dhambi ni mauti, na mauti yako ndio hayo.
Na mama yako ni Gen Z???
 
Chai yenye fundisho
 
Mshahara wa dhambi ni mauti, na mauti yako ndio hayo.
Na mama yako ni Gen Z???
Umekosea njia ?
ulicho reply na nilicho andika vitu viwili tofauti
Au umeshaonja chimpung'u imevuruga neva zako za fahamu
 
Umekosea njia ?
ulicho reply na nilicho andika vitu viwili tofauti
Au umeshaonja chimpung'u imevuruga neva zako za fahamu
Sorry Mkuu wangu, nia yangu ilikuwa kusisitiza ulichokisema kwenye msg yako kuwa ni story nzuri japo inaweza kuwa sio ya ukweli lakini ina uhalisia wa kweli wa maisha tunayopitia, na ndio maana nili like msg yako,
 
Mbali na kufikiri ni chai lakini tufikirie ujumbe tunaoupata.
Tusipende kufanya maamuzi kwa kuzingatia mtazamo wa ndugu na wazazi. Unakuta mzazi anakataa mchumba/mke kwa sababu tu za ubinafsi wa wazazi/ndugu na kupenda kuwa na nguvu au sauti kwa familia ya ndugu yao/mtoto wao. Mwanamke akijaribu kulizuia hilo hapo ndipo moto unapoanza kuwaka.
 
Ni story ya kutunga lkn ina funzo
 
Hii gahawa ningepata na chapati ya moto Hakka ingekua safi sana
 
Acha uongo bhana, acha kusingizia ndugu. Mjinga ni wewe, ujinga ni ile hali ya kutokuelewa au kujitambua.

Maisha ni yako, kazi ni yako, mke ni wako, maamuzi ni yako, familia ni yako, kila kitu kwako ni chako. Haya, ndugu wanaingiaje hapo?

Umelikoroga lazima ulinywe, umetandika kitanda utakilalia.

Jifunze na anza kuwajibika
Nimepoteza mwanamke wa maisha yangu kwa sababu ya ujinga wa ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…