Yamenikuta!

Yamenikuta!

Leo napingana na wewe kwenye hili, binafsi sipendi mwanamke/mke wangu afanye kazi kwa sababu napenda kumhudumia mwenyewe kwa kila kitu.
Wanaume mnatofautiana nakubali ila kwa upande wangu kuliko kufanya bahati nasibu bora mwanamke awe na hela yake inaepusha mambo mengi.
 
No 3. Mwanamke ni muhimu sana kuwa na maisha yake, wanaume mna dharau sana mwanamke akiwa hana kazi naandika kwa experience. Mwanaume ambae hataki mwanamke anaejitegemea najua fika ni mnyanyashaji.
😂😂😂😂😂😂
Yaani serious mi sitokuja jaribu kuoa mdada wa hivo kabisa an
 
Mi sitaki dharau na masimango..
Ukiangalia mara nyingi wenye wapo namna hiyo wanajiona washamaliza wana manyanyaso kabisa
Sawa. Nadhani kila mmoja ana aina ya mtu wake anaemtaka ambae anaamini wanaweza kwenda sawa. Ila huwa napenda kujua kitu kimoja hivi na watoto wenu wa kike mtapenda siku waje kuwa wamama wa nyumbani ili wawe na heshima kwa waume zao?
 
Yani unavosema wasioe mdada anayejitegemea kimaisha unamqqnishq nini!!
Akili yako haipo sawa wewe.
 
Mimi ni mpare, muda, pesa na nguvu zangu haziwezi kulika hivihivi nikabaki naumia, alafu hayajakukuta bwege wewe kheri ukae kimya
pole mpare mwenzangu ila ukiwa mwanaume kamili hayawezi kukukuta kizembe hivyo
 
Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.

Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.

Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
Namba 3 umechemsha
 
wadada wakija Dar hawataki kuondoka afu hawana hela ..kifatachoo ni kuliwa tu
Dar si mji wa kuja na kuondoka......Imagine Mwanamke anatoka mkoani amefubaa hatari, baada ya Mwaka mmoja anang'aa ngozi laini na Msududu unapanda...unajua Dar hata kama unakula Dagaa lakini ni Dagaa wa kiwango.
 
Hapo namba 2 (usithubutu kuoa msichana mwenye umri zaidi ya 20) yrs, ulimaamisha nini su ni typing errors tu
 
No 3. Mwanamke ni muhimu sana kuwa na maisha yake, wanaume mna dharau sana mwanamke akiwa hana kazi naandika kwa experience. Mwanaume ambae hataki mwanamke anaejitegemea najua fika ni mnyanyashaji.
ndo maama nasema wasioe mwanamke mwenye kazi, kama anakazi mwache na kazi yake, watafute watoto wasio na kazi, wanawake sio yani hawa wanawake ambao tayar washapita uku na kule ni toxic sana. Kheri upate alie fresh ndo umtreat kwa upendo unavyoweza ila sio hawa ambao ni victim washakua na guard mechanism ni hatari na sio kila mwanaume ni myanyasaji.
 
Back
Top Bottom