Yamenikuta!

Yamenikuta!

Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.

Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.

Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
Achana na hiko kisasi mkuu.

Huyu mchungaji mwachie Mungu wake anayemuabudu ndio atampa adhabu kwa hiyo dhulma aliyokufanyia.
 
Hapo namba 2 (usithubutu kuoa msichana mwenye umri zaidi ya 20) yrs, ulimaamisha nini su ni typing errors tu
Above that age ndo hawa wanao tuvurugia Dunia. Yani jitahidi utafute alie fresh ndugu
 
Upanga wa nini wakati kila mtu anaweza kuchukuwa hamsini zake bila ugomvi? Kwanza mwanamke anayetoka na mwanaume wa ki-nigeria atakuwa na akili fupi sana.
Hawakuniona wala, nilikua namaanisha upanga uk karib na muhimbili
 
Pole sana mkuu. Uliyoyasema ni kweli kabisa. Ila achana na kisasi. Mtu wako hakulazimishwa bali alienda mwenyewe. Kisasi kinaweza kukuletea matatizo.

Kubali mtu wako hajielewi na endelea na maisha yako.
 
No 3. Mwanamke ni muhimu sana kuwa na maisha yake, wanaume mna dharau sana mwanamke akiwa hana kazi naandika kwa experience. Mwanaume ambae hataki mwanamke anaejitegemea najua fika ni mnyanyashaji.
Huo ni uongo Mwanume hata umkute mdada amepauka hana hata 💯 atampenda hivyo hivyo,wenye dhalau huwa ni nyie.
By the way hela yenu hata ukipata 10M kwa mwezi huwa haisaidi chochote,Wanawake mmejaa ubinafsi sana-sijui mumeumbwaje nyie.
 
Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.

Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.

Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
Pole kwa kupigwa kitu kizito pia asante inaa maana wote tuliopata wachumba hapa dar tumetendwa na kama ujatendwa utatendwa tu 🤣🤣🤣🤣 Mungu tunusuru mpk sasa nmeshindwa kuchukua tn
 
Si tulikubaliana Jf wanaume wote ni washoka na tunakula wanawake kimasikhara?sasa imekuaje?
 
Huo ni uongo Mwanume hata umkute mdada amepauka hana hata [emoji817] atampenda hivyo hivyo,wenye dhalau huwa ni nyie.
By the way hela yenu hata ukipata 10M kwa mwezi huwa haisaidi chochote,Wanawake mmejaa ubinafsi sana-sijui mumeumbwaje nyie.

Mimi nimeandika kitu nilipitia sasa wewe unatoka huko unakuja kunibishia kitu nilichokutana nacho? Mfano mzuri ni humu humu jf nyuzi kibao za kulalamika mkiombwa hata vocha kejeli za kila aina utazikuta kuhusu wanawake alafu leo uje uniambie ni uongo nilichoandika??

Mimi bado nasimama na kauli yangu ni muhimu sana mwanamke kuwa na hela yake inaepusha matatizo mengi. Tukirudi kwako, wanawake tupo wa kila aina hivyo basi wewe ambae hutaki mwanamke mwenye kipato achana nae tafuta wanaotaka kulelewa kwa kila kitu tena hawa ndio wengi unajiokotea tu.
 
Pole sana, watu hawaaminiki, don't trust mtu anaye pumua🤣,
 
Heeeeh hupendi amani!
We track vzr mahusiano yako ya kimapenzi uliyowahi kupitia utaona yale ambayo hamna conflicts za hapa na pale, hamnyimani utamu hamkwazani hamuachani na kurudiana Kuna namna hayanogi
 
We track vzr mahusiano yako ya kimapenzi uliyowahi kupitia utaona yale ambayo hamna conflicts za hapa na pale, hamnyimani utamu hamkwazani hamuachani na kurudiana Kuna namna hayanogi
Hayo ya hivyo ndio nayapenda sasa. Uzee na shurba haviendani.
 
Back
Top Bottom